Recent content by Division5

  1. D

    JamiiForums Tanzania CUF yapinga bara kupewa ardhi Z’bar

    Kwa kuwa suala la ardhi si la muungano basi hata Wazanzibari walioko bara wasiruhusiwe kumiliki ardhi bara. Wapemba waliojazana bara watambue kwamba wao ni wapangaji tu. Wakamiliki ardhi kwao na si bara!
  2. D

    JamiiForums Tanzania Tanzania yapaa Kiuchumi - sasa ni ya 12 AFRICA

    Tafsiri vizuri habari hiyo. Tanzania Ni ya 12 kwa kasi ya ukuaji wa uchumi, na si kwa uchumi. Neno kasi ya ukuaji usipoyaweka unabadili maana kabisa. It is the 12th fastest growing economy.
  3. D

    JamiiForums Tanzania Ni kiongozi gani wa kisiasa ana hotuba kali za kumbadilisha mtu?

    Zitto Kabwe
  4. D

    JamiiForums Tanzania Dr. Magufuli akagua mradi wa mabasi yaendayo kasi (BRT) jijini Dar es Salaam

    Sema Dar es Salaam, maana miradi yote huwekwa Dar tu.
  5. D

    JamiiForums Tanzania Mjumbe wa Katiba Bi Maria Saungi Tseshai

    Hata Zakhia Meghji kachangia pumba na ni mwanamke. Na pumba zikubali pia
  6. D

    JamiiForums Tanzania Mjumbe wa Katiba Bi Maria Saungi Tseshai

    Tatizo nyie mkitofautiana na Zitto Kabwe basi mnataka kila mtu atatofautiana naye. Kuna wengine hawafuati mkumbo!
  7. D

    JamiiForums Tanzania Baada ya Kagame, JK alikoroga na waEthiopia

    Sasa kalikoroga namna gani? Katoa ushauri ambalo ni jambo jema kabisa. Hao wanaompinga hawajui kwamba sisi tukiamua kuyatumia hayo maji tutakavyo basi watakufa maana watayakosa. Tena kwenye hili wasimguse Jakaya kabisa
  8. D

    JamiiForums Tanzania CHADEMA yataka posho za wajumbe Bunge la Katiba zikatwe kodi

    Mbona hawajawahi kusema mishahara ya wabunge na posho zao vikatwe kodi? Ubabaishaji tu!
  9. D

    JamiiForums Tanzania Mgombea Urais atakaye Pinga Ushoga apewe Kura zote za ndiyo mwaka 2015

    Museveni alipoulizwa swali na mwandishi wa habari kuhusu "Dissapointing the international community and the western community" Alijibu hivi; We have been disappointed for so long by the conduct of the western countries, the way you conduct yourselves there, the family handling, but we have kept...
  10. D

    JamiiForums Tanzania NYARAKA: Mkataba wa Muungano uliowasilishwa UN

    Kwa hiyo kwenye mkataba huo kulitakiwa kuwepo na serikali moja tu. Serikali ya Zanzibar haikutakiwa kuwepo
  11. D

    JamiiForums Tanzania Alphonce Mawazo ateuliwa kuwa meneja Kampeni Kalenga

    Duh Mawazo amekuwa mchaga lini? Kweli rambirambi bado inakutafuna
  12. D

    JamiiForums Tanzania Tumekuwa washabiki,hatufikiri tena

    Kweli kabisa. Hapa si ushabiki ni ujinga tu
  13. D

    JamiiForums Tanzania Zitto Zuberi Kabwe kutazamiwa kuwa kiongozi mkubwa Tanzania baada ya miaka mitano (5)

    Vijana wa Chadema wanachekesha kweli. Wanaogopa kichwa cha Zitto Kabwe. Maana kila wakiangalia pembeni wanaona hakuna wa kumfikia katika kufikiria na kujenga hoja. Wivu tuuuuu
  14. D

    JamiiForums Tanzania Wafuatao waliwahi kukutana uso kwa uso na busara na hasira za Mwalimu Nyerere!..

    Siasa huiwezi dogo, kalime tu!
Back
Top Bottom