GHIBUU
JF-Expert Member
- Jan 13, 2011
- 4,432
- 3,016
Nimepata mkataba mwengine kutoka mzalendo.net ambao mkataba huu ndio uliko pale UN, mkataba huu umekosa uhalali wa kisheria, kwa sababu umesainiwa upande mmoja tu wa Muungano ambao ni Tanganyika, Tanganyika hutumia koti la Muungano kuitwala Zanzibar kinyume na sheria, na cha kushangaza UN imeridhia hilo ambalo wanjua ni kinyume na sheria, shukurani sana wazalendo waloweza kutupatia hizi nakala na zitatusaidia katika ku push case yetu kule ICC kwa kuishitaki UN kuifanyia ghila Zanzibar.
Bonyeza hapa Scribd
Bonyeza hapa Scribd