Recent content by diva48 tz

  1. D

    JamiiForums Tanzania Natafuta Fremu maeneo ya Gongolamboto/Pugu

    Habari wana jf,natafuta fremu ya biashara maeneo ya Gongolamboto au Pugu iwe kwenye barabara kuu. Natanguliza shukran
  2. D

    JamiiForums Tanzania Fremu kwa ajili ya biashara.

    Natumain mko poa wanajf. Nahitaji fremu ya biashara maeneo ya kibaha, kwa ajil ya kufungulia biashara ya chakula.
  3. D

    JamiiForums Tanzania msaada shule yenye bei nafuu.

    habari jf members. Naomba kwa yeyote anayejua shule yenye ada nafuu kwa A'level bording. Nawasilisha
  4. D

    JamiiForums Tanzania boarding school

    jaman naomba kujulishwa shule ya bei nzur kwa A'leval boarding siyo day shukran nawakilisha
  5. D

    JamiiForums Tanzania Bado tunahitaji mameneja wa hoteli na sales peoples

    iyo hotel ipo mkoa gani?
  6. D

    JamiiForums Tanzania Oral interview Technobrain, wameanza kupiga simu?

    wewe ulifanya?
  7. D

    JamiiForums Tanzania Techno Brain mishahara yao?

    hongera mkuu..mishahara yao iko poa,mbona walisema ni next wk iweje waite mapema?
  8. D

    JamiiForums Tanzania Kiwanja milioni 1.5

    KIFAI,u made my day hahahahaha!umenifurahisha sana
  9. D

    JamiiForums Tanzania Friji za kuchanganyia juice

    owkey mkuu
  10. D

    JamiiForums Tanzania Friji za kuchanganyia juice

    owkey mkuu
  11. D

    JamiiForums Tanzania Friji za kuchanganyia juice

    thnx mkuu ila nshaziangaliaga pale ckuziona.ngoja nikazichek tena vizur
  12. D

    JamiiForums Tanzania Friji za kuchanganyia juice

    habari wana jf naomba kufahamishwa kwa yeyote anayefahamu zinapouzwa izi friji za kuchanganyia juice na bei zake tafadhali anijulishe. Nawakilisha
  13. D

    JamiiForums Tanzania Friji za kuchanganyia juice

    habar wana jf naomba kufahamu zinapouzwa izi friji za kuchanganyia juice na ni bei gani. Nawakilisha
  14. D

    JamiiForums Tanzania tigo pesa

    natafuta laini ya uwakala wa tigo pesa wakuu,kwa yeyote aliye nayo anijulishe Nawakilisha
  15. D

    JamiiForums Tanzania fast deal huawei ideos x3 100,000

    unapatikana wapi?
Back
Top Bottom