msaada shule yenye bei nafuu.

diva48 tz

Member
Jan 28, 2014
33
1
habari jf members.
Naomba kwa yeyote anayejua shule yenye ada nafuu kwa A'level bording.
Nawasilisha
 
Mkuu shule zenye ada nafuu wanatoa elimu 'nafuu' pia.Nashauri umtafutie kijana shule bora na sio bora shule.Maana utakula hasara ya kupoteza hata hiyo pesa kidogo uliotoa na still mwanao akafeli hata kama ana uwezo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom