Recent content by Dit000

  1. Dit000

    JamiiForums Tanzania Nimenunua bodaboda aina ya Sinoray 250 ADV. Nawezaje kuifanya kuwa stable?

    hapana mkuu 84kg tool kabisa
  2. Dit000

    JamiiForums Tanzania Nimenunua bodaboda aina ya Sinoray 250 ADV. Nawezaje kuifanya kuwa stable?

    inategemeana na location, 4.52mil unapata isiyokuwa na tool box na urembo mwingine, ukitaka fullu 5.3mil
  3. Dit000

    JamiiForums Tanzania Nimenunua bodaboda aina ya Sinoray 250 ADV. Nawezaje kuifanya kuwa stable?

    sijakupata mkuu, ni mpya 0km
  4. Dit000

    JamiiForums Tanzania Nimenunua bodaboda aina ya Sinoray 250 ADV. Nawezaje kuifanya kuwa stable?

    thanks mkuu, ngoja nifanye hivyo ya nyuma naweza acha hivyo hivyo kwa ajili ya kubeba mzigo mkubwa, ila mbele ndio nifanye hivyo iwe laini, maana nikiendesha umbali mrefu say 150km kwa rough road yenye mashimo makubwa nachoka mabega.
  5. Dit000

    JamiiForums Tanzania Nimenunua bodaboda aina ya Sinoray 250 ADV. Nawezaje kuifanya kuwa stable?

    Nimenunua sinoray ADV 250CC naona shokapu za mbele na ile ya nyuma ngumu sana, kwenye mabonde badala ya kunesa inakuwa inadunda tu. kuna namna ya kurekebisha shokapu ziwe zinanesa? hasa rough road zenye mabonde unakuwa hupati ule mneso. Kngine kwenye mchanga mwingi inayumba sana, kuna namna ya...
  6. Dit000

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania "Influencer" wa Instagram atambulisha danga - Babu wa kizungu

    Ushirombo home kabisa
  7. Dit000

    JamiiForums Tanzania Forex vs Betting

    Nachangia mjadala kama ifuatavyo; Forex = betting. Unafuu wake ni kwenye kupata faida kwa muda mrefu ( rate of repeatedly happen of an event ( probability) is higher) kulinganisha na other probability schemes kama vile footballer, n.k. provided that Una high chance of producing sniper entries...
  8. Dit000

    JamiiForums Tanzania Tuwe makini na biashara za mtandaoni Intelligence (IFX) ni wezi kama wezi wengine tu

    Hawa jamaa waliwahi kunipiga 250k wakaniuzia signals. Zote trades zilikuwa zinapigwa stop loss, halafu walivyo wasenge.. Trade moja wakiotea ndio wanaipost IG na kwenye app yao ili watu wavutike. In short wana loss nyingi sana kuliko profits. Hawatrade kwa pesa zao wanatumia za wateja wao...
  9. Dit000

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nilikuwa namjaribu kaja mazima ANATAKA ndoa nambwagaje!?

    Kapela shule ya msingi, ni home Kabisa kama Siyo Dada yangu sijui tu.
  10. Dit000

    JamiiForums Tanzania Forex sio mafanikio ya haraka kama watu wanavyodanganywa

    mkuu yaani mawazo yako ni kama yangu tu, mimi mwezi huu teali narudi kupambana na broker vita ni kali sana ila nitamchapa tu in long run
  11. Dit000

    JamiiForums Tanzania Electrical Technician interview TRC

    karibu TRC siye tunapanda treni bure
  12. Dit000

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    habari, mnaendeaje humu? sisi tunawasalimu tu tumeshapoa kabisa.. msikate tamaa kikubwa ni kupambana tu.
Back
Top Bottom