Recent content by disturbanced

  1. disturbanced

    JamiiForums Tanzania Ifahamu biashara ya Spea za Pikipiki na Bajaji (sehemu ya Tatu) inaendelea...

    shukran mkuu binafsi mimi naswali kwako..vp kuhusu kudeal na vifaa latest yaani za kisasa zaidi na urembo wa bike mfano kama ni taa bas inakua ni taa spot lakin pia ni urembo....kuna ishu ya kupimp hizo pikipiki yaan kuziongezea uthamani..hii imekaaje boss wangu
  2. disturbanced

    JamiiForums Tanzania Nina laki moja nawezaje kuizalisha?

    itaftie mbegu itazaa tu
  3. disturbanced

    JamiiForums Tanzania Ukitoa rangi, ni upi muonekano mzuri wa nyumba kwa nje ambao hautozeeka haraka wala kupitwa na wakati

    decor ni nzuri haipitwi na wakati lakini pia ni mwarobaini wa fangasi pamoja na magadi kuharibu muonrkano wa nyumba..ni gharama lakini inakaa muda mrefu zaidi
  4. disturbanced

    JamiiForums Tanzania Hizi hapa short course za veta, je nimshauri apige ipi kijana wangu (anko)?

    apo mimi napiga x kote..ushauri wangu aende kusoma ICT&OPERATING MASHINE short/long course
  5. disturbanced

    JamiiForums Tanzania chef&procurement officers Arusha

    wakuu habari za muda huu...niende moja kwa moja mimi ni mjasiriamali nipo arusha.Naomba mwenye connection ya chef wa hoteli au officers wanaohusika na ununuzi wa chakula na mbogamboga mahotelini hasa arusha...binafsi nafanya biashara ya kuuza mbogamboga soko kuu arusha lakini pia...
  6. disturbanced

    JamiiForums Tanzania Nina miaka 25, ndani Nina akiba ya elfu tatu si umasikini huu

    tupe location mkuu
  7. disturbanced

    JamiiForums Tanzania Soko la Mbgaboga

    ntalifanyia kazi shukran
  8. disturbanced

    JamiiForums Tanzania Soko la Mbgaboga

    karibu boss tuwasiliane
  9. disturbanced

    JamiiForums Tanzania Soko la Mbgaboga

    ndio nalima mwenyewe..picha n za google muhimu umeelewa bidhaa husika
  10. disturbanced

    JamiiForums Tanzania Soko la Mbgaboga

    karibu boss
  11. disturbanced

    JamiiForums Tanzania Soko la Mbgaboga

    nipo arusha wilaya ya arumeru
  12. disturbanced

    JamiiForums Tanzania Soko la Mbgaboga

    shukran boss
  13. disturbanced

    JamiiForums Tanzania Soko la Mbgaboga

    wakuu habari za muda huu...binafsi natafuta masoko ya uhakika ya mbogamboga aina ya broccoli,caulflower,chinesse cabage,red cabage,zucchini pamoja na letuce kwa yeyote mwenye connection may be ya hoteli sokoni au vyovyote karibu tufanye kazi natanguliza shukran zenu. picha za mazao hayo zipo...
  14. disturbanced

    JamiiForums Tanzania JITATHMINI: Mambo 10 Yanayobainisha Kwamba Una Roho Mbaya

    hizo zote ninazo na hamniambii kitu
Back
Top Bottom