Recent content by Display Name

  1. Display Name

    Nimesikitishwa sana na Walimu hawa. Hawakutumia busara kwenye hili

    Na inapotokea mtu kuingilia fani na akagundulika nadhani ni wakati wa kumuwajibisha na kuondoa makapi. Tukiwaacha tunatengeneza mzigo na bomu tutakaloshindwa kulitegua
  2. Display Name

    Nimesikitishwa sana na Walimu hawa. Hawakutumia busara kwenye hili

    Hili ni jambo la msingi sana. Na hata ikitokea wamekosea ni wajibu wetu kama wazazi kuwaonya/kuwakanya kwa namna ambayo itawabadilisha na kuwafanya wema si kuharibu zaidi
  3. Display Name

    Nimesikitishwa sana na Walimu hawa. Hawakutumia busara kwenye hili

    Oooh! Sikuwa nafahamu hili ila still wale watoto hawakufanyiwa vizuri
  4. Display Name

    Nimesikitishwa sana na Walimu hawa. Hawakutumia busara kwenye hili

    Habari wakuu, Siku chache zilizopita imesambaa video ya Wanafunzi ambao kwa muonekano wanaonekana ni wa Shule ya Msingi (Sifahamu jina la shule). Video hii inasikitisha mno kwa kuona ambacho wanafunzi wanakiri walichofanya. Ipo hivi, hawa wanafunzi wakiume wanakiri kuwa na na tabia ya...
  5. Display Name

    Mjadala wa Haki ya Ulinzi wa Data binafsi kupitia Clubhouse ya JamiiForums

    Nipo nanyi kama kawa kama dawa, yaani ni live bila chenga
  6. Display Name

    Mwanafunzi wa Darasa la Saba aliyefanya mtihani akiwa Mahabusu afaulu kwa kupata Daraja B

    Anashikiliwa kwa tuhuma za mauaji yeye na babake. Hapo kwenye Habari ndio nimeona hivyo
  7. Display Name

    Mwanafunzi wa Darasa la Saba aliyefanya mtihani akiwa Mahabusu afaulu kwa kupata Daraja B

    Licha ya kushikiliwa gerezani kwa tuhuma zinazomkabili, Kunde Gambija Kilulu (15) alikuwa miongoni mwa zaidi ya watahiniwa milioni 1.1 waliofanya mitihani ya darasa la saba na hatimaye kufaulu kwa daraja B. Wakati wanafunzi wenzake wakifanya mitihani hiyo wakiwa katika mazingira ya kawaida...
  8. Display Name

    Ripoti toka kwa Waadau mbalimbali kuhusu Ukatili wa Kingono kwa Watoto

    Mimi nikiona hizi ripoti kuhusu ukatili huu kwa watoto moyo wangu unapoa kabisa. Dah
  9. Display Name

    Mkuu wa Wilaya Songwe, Simon Simalenga akiwa Kata ya Mwambani leo baada ya jana kufanya mazungumzo na Watumishi wa Halmashauri ya Wilaya ya Songwe

    Baada ya jana kukutana na kuzungumza na Watumishi wa Halimashauri ya Wilaya ya Songwe jana. Leo Juni 25,2021 Mkuu wa Wilaya ya Songwe Simon Simalenga amefanya ziara kwenye Kata ya Mwambani ambayo inaundwa na Vijiji vya Iseche, Mbala na Mwambani. Katika ziara hiyo ambayo aliambatana na...
  10. Display Name

    Haya majina anayomwita mama yake mnayaonaje?

    Jamani leo umenikamia we mtu
  11. Display Name

    Haya majina anayomwita mama yake mnayaonaje?

    Na ushwaini umenitokea wapi tena. Ila asante kwa kuchangia mada
Back
Top Bottom