Recent content by DISLIKER

  1. D

    Ni Jambo gani unaloweza kusema Rais Samia hajatekeleza?

    Mama tunashukuru kwa kujenga shule nyingi nchini na pia hakuna walimu ni jambo zuri sana usiwalete tu hao waalimu waache waendelee kusota mtaani KWANI watoto watajifundisha wenyewe mpaka waelewe tuu
  2. D

    Ni Jambo gani unaloweza kusema Rais Samia hajatekeleza?

    Na pia mama tunakushukuru kwa misadaa unayoiendea uarabuni kila kukicha hakika wabantu na waarabu ni ndugu kabsa mama...na yule mjomba wako wa Dubai hivi hajambo
  3. D

    Ni Jambo gani unaloweza kusema Rais Samia hajatekeleza?

    Na pia tunashukuru umewaruhusu watoto wako akina mwigulu wale kwa urefu wa kamba zao mbele ya kadamsasi ya watanzania tunakushukuru mama hakuna kama wewe
  4. D

    Kwanini kila Nape Nnauye anapokuwa Waziri wa Habari ni lazima utokee mkanganyiko?

    Nape jamaa hakubaliki Hadi jimboni kwake Yani watu hawamuelewi, Kuna siku nilikuwa nyangao Lindi nikamfuma anazindua sijui nini pale Yani ni sokoni lakini watu waliokuwa hawana habari nae wako busy kuuza upupu JAMAA HAKUNA KITU PALE
  5. D

    Aina hii ya mabinti ni ngumu sana kuolewa

    Aaaaaaaah ni suala la muda tu huyo bff atakuwa mke wa pili nimekaaa palee MEN ARE ALWAYS MEN
  6. D

    Ni Jambo gani unaloweza kusema Rais Samia hajatekeleza?

    Zamani umeme ulikuwa unakatika kweli Yani siku hizi ni 24/7 😎😎hakuna shidaa
  7. D

    Aina hii ya mabinti ni ngumu sana kuolewa

    Kimtu kicheche, kilevi, team dragon, kinavaa mavazi yasiyoelewekaa,hakajui kutunza Siri,kanawaza starehe tuu aaaah kwakeli kakafie mbeleee ukoo
  8. D

    Ni Jambo gani unaloweza kusema Rais Samia hajatekeleza?

    KWANI HUYO UNAYEMWONGELEA NI NANI MBONA KA NIMEMSAHAU HIVI
  9. D

    Mahusiano Matumizi ya Emoji na Ulofa

    🙃🙃🙂🙂🙂🙃🙃🙃🙃🙃🙃🙃🙃🙃🙃🙃🙃🙃🙃🙃🙃🙃🙃🙃🙃🙃😊😊😊🙃🙃😊😊🙂😌😔😔😐😐🤪😶😶😶🤪😝😜🤪🤪😝🌛🌛🌜🌜🌜🌜🌜😫🌛😫😫🌛😫🌛😫🌛😫🌛😫🌛😵🌛🌛😞😵😖😫
  10. D

    Mahusiano Matumizi ya Emoji na Ulofa

    😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂🤪🤪🤪🤪🤪🤪🤪🤪🤪🤪🤪🤪🤪🤪🤪🤪🤪🤪🤪😛😛😛😛😛😛😛🙊🙊🙊🙊🙊🙊🙊🙊🙊🙊🙊🙊
  11. D

    Naomba kujuzwa Bachelor of Cyber Security

    Sasa ndugu aulizae si anataka jua na sio kwambaa ni mimi nae taka soma hapana.WAKATI MWINGINE USIJICHOCHE UJUAJI KAMA SIO MJUAJI
  12. D

    Naomba kujuzwa Bachelor of Cyber Security

    Jamanii naomba msaada kwa wanaofahamu hii kozi na soko lake hapa nchini. Na je inahusiana na nini hasa?
  13. D

    Wakinamama wanaolea watoto bila baba (single mothers): Sababu, athari kwa mtoto, changamoto na mitazamo ya jamii

    KATAA NDOA NDOA NI UTAPELI NDOA NI MAUAJI NDOA NI HUJUMA KATAA NDOA
  14. D

    Aina hii ya mabinti ni ngumu sana kuolewa

    KATAA NDOA NDOA NI UTAPELI NDOA NI HUJUMA NDOA NI MAUAJI KATAA NDOA
  15. D

    Mahari kubwa yamkosesha mke

    KATAA NDOA NDOA NI UTAPELI NDOA NI HUJUMA NDOA NI MAUAJI KATAA NDOA
Back
Top Bottom