Recent content by Dish

  1. Dish

    JamiiForums Tanzania Mamlaka zinazotenda dhuluma haziwezi kuifikisha ligi yetu kuwa namba 4 kwa ubora Afrika, Yanga mjitafakari

    Ukiacha ushabiki uongee ukiwa na akili zako timamu unaona kabisa tifua tifua na bodi ya marefa wamekosea wanatakiwa kuchutuma.. Sema tumebaki kuleta ushabiki. Mungu aokoe hichi kizazi kina angamia kwa kosa maarifa
  2. Dish

    JamiiForums Tanzania Kikosi cha Yanga siku ya derby ya Kariakoo June 15

    Ubingwa wa mezani wala haunogi
  3. Dish

    JamiiForums Tanzania Bodi ya ligi hawajui majukumu ya timu mwenyeji

    mpira wetu, soka letu ni kivyetu vyetu Yaani wenye mamlaka ya kuusimamia mpira wetu ndio wana kuwa wakwanza kuuharibu mpira wetu.
  4. Dish

    JamiiForums Tanzania Yanga yafungua malalamiko CAS dhidi ya bodi ya ligi

    Usibishane nao wengi wao wanaongozwa na hisia
  5. Dish

    JamiiForums Tanzania Yanga yafungua malalamiko CAS dhidi ya bodi ya ligi

    Mara paap hii ndio ya kwanza wanafanikiwa
  6. Dish

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri, nijenge nyumba Dar au Mkoani - Mjini?

    Mkoani mkuu Itapendeza zaidi
  7. Dish

    JamiiForums Tanzania Ayubu jiandae kesho wanakupa kashfa kama Manula ilivyotokea kwenye dabi iliyopita Simba kufungwa goli 5

    Ayubu majeruhi Fanya urudishe simu kwa kaka yako mtoto
  8. Dish

    JamiiForums Tanzania Inawezekana uhuni wa Yanga ulifanywa kwa kushirikiana na TFF ndio maana TFF wapo kimya

    Kijana punguza mhaho Yanga Bingwa
  9. Dish

    JamiiForums Tanzania Yanga imejitahidi sana kuwabeba Azam lakini hawabebeki!

    Wee Kweli KOLO
  10. Dish

    JamiiForums Tanzania Fahamu zaidi kuhusu Afrika

    Kijana ndio wale wasiopenda vya kwao Mlima Kilimanjaro haujui itakuwa Wala fuvu la mtu wa kale
  11. Dish

    JamiiForums Tanzania Maoni: Tahasusi mpya zimelenga kuwabeba waislamu hasa Wazazibar kuongeza ufaulu

    Tafsiri yko ya uelewa imeishia kwenye udini udini
  12. Dish

    JamiiForums Tanzania Wakenya wanataka fainali ya AFCON 2027 ifanyike kwao

    Una uhakika au unaandika tu
Back
Top Bottom