Hapo sawa kuna utofauti gani kati ya namba moja kwenye list yako na hiki ulichonielezaSasa Mlima Kilimanjaro ni Nature hiyo Mkuu, yaani hizo vitu ni kama Man made yaani
Tanzania 🇹🇿 Ngorongoro Creta
Hatuzungumzii Nature tunazungumzia vilivyofanywa na Watu katika siku husika, mbona Wagumu sana kuelewa ?Hii itakua imeandaliwa na Mnigeria au Mpolipoli yeyote, kwanini hata hijataka kuzungumzia Raslimali kama Milima(Kilimanjaro), Mbuga(Serengeti), madini(Tanzanite) au Siasa tupate kina Nyerere na CCM yao?
Ungesema sasaHatuzungumzii Nature tunazungumzia vilivyofanywa na Watu katika siku husika, mbona Wagumu sana kuelewa ?
Edit bichwa la habari thenMlima uliumbwa na Mungu mbona Wagumu sana kuelewa?
Poa tutafute pesaHatuzungumzii Nature tunazungumzia vilivyofanywa na Watu katika siku husika, mbona Wagumu sana kuelewa ?
Kijana ndio wale wasiopenda vya kwao Mlima Kilimanjaro haujui itakuwaTanzania mbona hujaweka chochote home boy au mlima kilimanjaro hauna nafasi kwenye list yako