Recent content by dirun

  1. D

    GE2020 Wako wapi Makada kindaki ndaki wa CCM?

    Wako busy wanadownload VPN
  2. D

    GE2020 Vijana Wahitimu wa Vyuo Vikuu, Wajiunga Pamoja Kuikampenia CCM, Watumia Basi Maalum, CCM Campaign Bus, Kufikia Wengi, Wasaidia Sana CCM Kuvuna Kura!

    Mwingine niko naye hapa na ni msimamizi pia kamaliza UDSM mwaka huu lakini kura yake anaipiga CDM na hivyo hiyo hali isikutishe
  3. D

    Mama Anna Makinda, Jipime kama NHIF ikiwa chini yako imekidhi matarajio ya wengi?

    Tunaoawaon wagonjwa kipindi hiki especially mwezi huu tumepata changamoto sana haswa kwa wagonjwa wenye magonjwa yasiyoambukizwa(NCDs) kwani dawa zimetolewa nyingi sana na kigezo kilichotumika ni kwamba haziko kwenye miongozo ya matibabu ya Taifa( STGs).Kusema watu watibu kulingana na miongozo...
  4. D

    Askofu Niwemugizi, asitisha Misa na Ibada zote Jimbo la Rulenge, awataka waumini Wasali Majumbani pia Wajikinge na Corona

    Kuna mida ni sahihi kusoma teolojia na miongozo ya mambo yahusuyo dini unayoichangia hapa.,Hebu huyu Mungu tusimchukulie vibaya,katupatia akili na utashi pia maarifa tuyatumie kwa ajili yetu na matakatifuza yake. Katika Imani ya katoliki Askofu ni Rais wa jimbo na as long as hajatoka nje ya...
  5. D

    Watu wa Pwani tumuunge mkono Waziri Jafo kupelekamaendeleo mikoa yote bila upendeleo wala ukabila

    Bora mngemchagua kingwendu tu walau mngepata hata burudani
  6. D

    Rais saidia Mwanza MWAUWASA maji kutoka TZS 700 hadi 1220TZ kwa unit moja

    Akili yako inawaza pombe tu ndugu,gharama za maji mwanza haziwezi kuwa ghali kuliko ilivyo shinyanga ambako wanasafirisha maji from Mwanza. Maji ni moja ya basic needs za binadamu na hivyo pata muda tembelea nchi nyingine serikali zinafanya juhudi zipi kuhakikisha watu wake wanapata maji safi na...
  7. D

    Rais saidia Mwanza MWAUWASA maji kutoka TZS 700 hadi 1220TZ kwa unit moja

    Unadhani wakazi wote wangeenda cold grest pangetosha?vipi ambao siku hiyo walikuwa na majukumu mengine ya kujenga taifa????Ndugu hii itapunguza sana wateja wa maji ama ndio tubane matumizi ya maji pia?
  8. D

    Rais saidia Mwanza MWAUWASA maji kutoka TZS 700 hadi 1220TZ kwa unit moja

    This is truly terrible maana sisi gharama za maji zimetriple kutoka 500k mpaka 1.5m ndani ya mwezi huku watumiaji wengi wakiwa hawapo.Yaani ongezeko la asilimia 200 hii ni hatari sana jamani
  9. D

    Serikali (NIDA) imefeli vibaya mno suala la vitambulisho vya taifa; kusubiri zaidi ya mwaka, vitambulisho vinapotea haviwafikii walengwa!

    Kupata vyote hivyo huhitaji mpaka upate kitambulisho bali ndani ya wiki moja wanaweza kukupatia number yako ya kitambulisho ambayo unaweza kuiprint na kuitumia popote pale. Nilipata shida kama hiyo nilipotaka kuomba passport last year December but within a week niliipata namba na nikaenda nayo...
  10. D

    Prison life(Maisha ya gerezani)

    Mkuu aina ya stroke uliyoipata wewe ni locked-in syndrome kabisa
  11. D

    Hoja ya CCM kutumia vyombo vya Dola

    Mbona kama ulisoma chuo kimoja na Jessica???
  12. D

    Kubenea na Komu wanapaswa kuheshimu timing

    Umesahau C&P
  13. D

    Waitara: John Heche Alipata Sifuri Kidato Cha Nne, Anatumia Cheti Cha Dada Yake

    7h Moja ya sababu zinazotufanya watanzania tusipige hatua ni kuwa na viongozi wa aina hii. Najiuliza ni vigezo gani walivitumia CCM kumsimamisha tena mtu kama huyu ambaye hapo ndipo anamwaga sera zake na kueleza kwanini achaguliwe tena. Najiuliza zaidi juu ya vigezo watavyoviangalia wapiga kura...
Back
Top Bottom