Recent content by Director Kenny

  1. Director Kenny

    JamiiForums Tanzania Tuache kupotoshana, bongo kutafuta pesa online ni ngumu sana kutoboa, sidhani hata kama yupo anaeingiza milioni 20 kwa mwezi. Ni heri ufanye kilimo

    Bongo ujuaji mwingi sana. Asilimia kubwa ya vijana hawataki kujishughulisha wakishatoka vyuoni badala yake wanaanza mambo ya wizi wa mitandaoni mwisho wanakuwa Wauza ODDS, wauza accounts za youtube magemu na kadhalika yani kiufupi wanajifunza mbinu zautapeli zakila namna. Wanunua Odds...
  2. Director Kenny

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Simba imeshamshinda kuanzia leo, asubiri kufurumushwa muda sio mrefu

    Usichokijua nikwamba Moses Phiri aliwahi kula manzi ya Robatinyo,,, ndomana hata hayo yote yanamkuta . Nikama vile Morinyo alivyowahi kumkalisha benchi mchezaji flani huko ulaya kwasababu tu alikuwa akideti na mtoto wake
  3. Director Kenny

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanaume wa mtandaoni wengi wahuni

    HII IMEENDA
  4. Director Kenny

    JamiiForums Tanzania Petroli na Diesel bei Juu. Dola yaelezwa kuwa sababu ya bei kupaa

    Sasa ikifika kule Ngara siitauzwa 4000
  5. Director Kenny

    JamiiForums Tanzania Mwanza: Ajali iliyoua watu 6 wakifanya mazoezi, dereva afikishwa mahakamani, asomewa makosa 15

    Unachosema nikweli lakini wengi wa watembea kwamiguu barabarani hawatembei katika upande wanaotakiwa watembelee. Nasema haya maana namimi nidereva na ninaona haya kilasiku
  6. Director Kenny

    JamiiForums Tanzania Mbingu haipo, watu husema mbinguni kuna maisha mazuri lakini huomba waishi maisha marefu duniani

    Wafiadini wakija watasema ni dhambi kuwaza mambo hayo uliyoyaainisha hapo
  7. Director Kenny

    JamiiForums Tanzania Mwanza: Ajali iliyoua watu 6 wakifanya mazoezi, dereva afikishwa mahakamani, asomewa makosa 15

    Hawa watu wanaofanya mazoezi pembezoni mwa barabara huwa najiuliza sana kwann wasiwe wanaenda kwenye viwanja vilivyo wazi au gym.🤔🤔
  8. Director Kenny

    JamiiForums Tanzania Kupandikiza Uume Hospitali ya Benjamin Mkapa ni Tsh. Milioni 6 hadi 10

    Unalikunja nini mkuu? Mimi piah sijaelewa wanafanyaje
  9. Director Kenny

    JamiiForums Tanzania Sehemu za Massage ziangaliwe kwa umakini mkubwa

    Picha zaushahidi kwaajili yakusindikizia uzi tafadhali😌😌
  10. Director Kenny

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Haya ndiyo Maoni yangu kuhusu Usajili wa Simba, Yanga, Azam na Singida Fountain Gate na naomba yaheshimiwe tafadhali

    Wanangu wa Yanga mikono juu
  11. Director Kenny

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kudate na mwanamke wa Arusha inahitaji uchanganyikiwe kidogo

    Ni kweli ila sio wote. Mimi piah niliwahi kudate na demu wa Arusha , kuambiwa "Niaje man " au kama mmekosana kukuambia "Umezingua man " ilikuwa kawaida sana.
  12. Director Kenny

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kudate na mwanamke wa JamiiForums inahitaji moyo

    Nauliza Kama mmekutana jf na hamna ukaribu wwte
  13. Director Kenny

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanamke wa uswahilini

    Usingeifatilia wala kureply mkuu. Ungepita kama hauoni vile
Back
Top Bottom