Recent content by dionsio

  1. D

    JamiiForums Tanzania Kesho madereva watagoma tena nchi nzima

    hapa dili ni kudamka saa kumi ili kufka maeneo ya kazi
  2. D

    JamiiForums Tanzania Kesho madereva watagoma tena nchi nzima

    ni mgomo kwa dsm au nchi nzima?
  3. D

    JamiiForums Tanzania Kesho madereva watagoma tena nchi nzima

    wakuu nipo kwa daladala naelekea mbezi. nimedaka maongez ya dereva akiongea kwa simu kua kesho tar 4 may ni mgomo. wenye taarifa kamili mtujuze. kwan madai yao c wameshatekelezewa?
  4. D

    JamiiForums Tanzania Nataka kuacha hii kazi, Nisaidieni

    Pumbiti kapumye Kazi inakulpa hiyo, kumbuka una mkopo. Ukiisha utaenda home na kilo 4 na plot ushapata.
  5. D

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi

    we kwa nn ucwapigie wakati namba zao unazo?
  6. D

    JamiiForums Tanzania Basi la Nyagawa kutoka Njombe limepata ajali mbaya

    nyagawa hazipiti msoga, labda useme msolwa. msoga ni njia ya kuelekea tanga kijiji alichozaliwa kaka wa mama yako
  7. D

    JamiiForums Tanzania Mbunge CHADEMA Akodisha Chopa kwa CCM Kufanyia Mikutano - Huu Sio Usaliti?

    nia yao ni kuwaua kwa kuidondosha
  8. D

    JamiiForums Tanzania Ni kweli serikali kupitia SUMATRA imeshindwa kuhakikisha madereva wanakuwa na mikataba ya ajira?

    hata hao maadereva wa wabunge hawana mikataba. waheshmiwa wanapewa posho za madereva ila hazfki kwa madereva wao
  9. D

    JamiiForums Tanzania Waziri Chikawe amkana Kova tochi za traffic barabarani

    kova hakukosea. kauli yake ya mwisho ya kusema fuateni sheria ndo ilibeba mantiki ya kutokuingilia madaraka. kwa wasiopambanua mambo watateseka kurumbana na askari bure
  10. D

    JamiiForums Tanzania Kusitishwa Matumizi ya Tochi: Tutarajie Ajali Nyingi Barabarani

    toach hazijaondolewa. kama unaakili timamu, zingatia kauli aliyosema fuateni sheri za barabarani. maana yake mtii alama na vibao vya maelekezo. toach za kujificha askari ndo zimekatazwa. ukiona askari anatokea maporini na kukusimamisha kataa
  11. D

    JamiiForums Tanzania Wizara inapowageuza watanzania (madereva) bidhaa ya kupigia dili hii ni hatari sana

    hakuna dereva alshababu wa kujitoa mhanga. hata wewe abiria waweza kuwa sababu uliendewa kwa sangoma ili utolewe uhai kwa njia ya ajali
  12. D

    JamiiForums Tanzania Wizara inapowageuza watanzania (madereva) bidhaa ya kupigia dili hii ni hatari sana

    mpango wao tuliushitukia wa madereva kulipia wanafunzi wa sekondari ada kwa madai sekondari kuanzia mwakani itakua bure
  13. D

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri, Mgomo wa Madereva wa Mabasi nchini - Aprili 10, 2015

    madereva wa dodoma ndo hawana msimamo ni waoga sana. daladala zipo kazini na mabasi yanasafi. nadhani wao wako tayari kwenda kusoma tena watakapotaka ku renew leseni zao
Back
Top Bottom