Mtoto wa kiume lazima umnyooshe mapema na inavyoonekana kwa aina ya malezi yako,tayari umeshamuharibu,ila hicho kipigo cha mbwa koko kinaweza kumrudisha mstarini
Duh,hyo shule itakuwa ni mbovu mnooo,je wangekuwa na mtoto wangu aliyegonga A zote wangefanyaje?
Hilo ni tangazo tu kwamba hata watoto wa mastaa wanasoma shule hyo hata kama ni vilaza ili wazazi vilaza wavutike
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.