Recent content by Dingi mchafu

  1. D

    JamiiForums Tanzania Hivi Magufuli ataenda kweki kuoiga kura leo???

    aseee umenichekesha sana
  2. D

    JamiiForums Tanzania Wiki ya mwisho ya kampeni: Magufuli na CCM wanafanya makosa ya kiufundi

    Well articulated....too late they cant change nw....
  3. D

    JamiiForums Tanzania Babu Duni aonekana Zanzibar

    Nyie mnaoanzisha propaganda tumieni basi akili ata theluthi. Ujinga mwingine ata mtoto anajua ni uzushi
  4. D

    JamiiForums Tanzania CCM Wapokea Kadi za Wapinzani / UKAWA kwa Malundo

    Nimezihesabu za chadema ziko 21. Io ndo lundo?
  5. D

    JamiiForums Tanzania UKAWA, Mkicheka na Nyani Mtavuna Mabua,.!

    Na mm nimeliona hili
  6. D

    JamiiForums Tanzania Muamala wa Lowassa hatarini

    Fisadi kaishiwa tena. C ndo kaiba hela zote nchi hii uyu.What a contradiction?
  7. D

    JamiiForums Tanzania Pata michoro ya Interior design na Architectural kwa Nyumba/Jengo lako

    Nakupata vipi arusha mkuu?
  8. D

    JamiiForums Tanzania Hoteli ya Nashera Mjini Morogoro imefungwa?

    Mmiliki wake ni mmarekani anaitwa Wilbur Colom. Ni mwanasheria ila tapeli tapeli ivi
  9. D

    JamiiForums Tanzania Sumaye, Unafahamu uliongoza baraza la kifisadi kuliko yeyote?

    Atakuwa anafahamu ndo mana nafsi imemsuta ameamua kuondoka
  10. D

    JamiiForums Tanzania UKAWA: you'r sowing a seed of your own destraction.

    Chizi tu ndo atadharau kuondoka na mawaziri wakuu wawili........chizi tu.
  11. D

    JamiiForums Tanzania Magufuli: Kuna mgombea amesomea maigizo

    Hii arrogance yake ndio inazid kumdidimiza. C juzi waigizaji walikula nae pilau pale mlimani city leo anawadharau tena? Kuigiza si wanaihesabu katika takwimu zao za ongezeko la ajira
  12. D

    JamiiForums Tanzania Updates kutoka Zanzibar: Mkutano wa kumtambulisha Mgombea Urais kwa tiketi ya UKAWA

    Mwambie atumie akili ya nursery tu..... Kura za maoni wanachama wote waliojitokeza hawafiki milion mbili.
  13. D

    JamiiForums Tanzania Mada Moto Channel Ten: Julius Mtatiro vs Humphrey Polepole

    Polepole leo kaaibika. Ukinunuliwa unapoteza consistency. Nampuuza kuanzia leo
  14. D

    JamiiForums Tanzania Upepo umeshageuka, Vyombo vyote vya habari si huru tena

    Channel 10 ndo hawajaonyesha kabisa.
  15. D

    JamiiForums Tanzania Pata michoro ya Interior design na Architectural kwa Nyumba/Jengo lako

    Mkuu unapatikana Arusha?
Back
Top Bottom