Magufuli: Kuna mgombea amesomea maigizo

Magufuli: Kuna mgombea amesomea maigizo

Utendaji na maendeleo ya ccm yako wapi?? Tunataka maigizo..tumechoka na maendeleo kwa sababu yy magufuri keshayafanya hayo...
 
huyu anaanza mdomo wakati ana madudu kibao

1.Kamzalisha mwanafunzi wa Geology pale UD anaiwa Sundi
2.Kamuuzia Sundi nyumba ya serikali kwa 170,000/= TZS
3.Akiwa waziri alikuwa analala mabibo Hostel kwa Sundi bila kificho
4.Akiwa waziri kamjengea kimada nyumba Kunduchi Mtongani na mkandarasi ni kampuni ya SKOL ( 10% kwa kuwapa kazi labda)
5.Akiwa waziri kaitia hasara serikali ya 3bilioni kwenye kesi ya kukamata meli ya samaki
6.Akiwa waziri kabainika kwenye report ya CAG ya mwaka huu kuwa 250bilioni hazijulikani ziliko wizarani kwake
7.Akiwa waziri kampuni ya Aashlef iligoma kumpa 10% wakati wa ujenzi wa barabara ya iringa-dodoma na akiifuuza kazi.
8.Akiwa waziri alionekana kwenda samunge kunywa kikombe kwa maradhi ambayo hayajulikani haswa anaumwa nini na hili ni hatari kwa taifa.

mengine yataendeleeeaaaa

Weka na madudu ya lowasa tulinganishe uchafu wao.
 
Usiseme hamdanganyiki sema mmeshachagua wa kuwadanganya, na kwa muonekano wake wewe actor mamvi kishawashika masikio. Siasa zote maigizo tu ili mradi muwaweke wanaowafanyia shoo madarakani utajifunza siku moja.

Na El Katushika haswaaa wala hatuoni wala hatusikii ni mbele kwa mbele hata mumponde mumchafue kiasi gn Lowasa ndie rais wetu.
 
NI KATIKA KAKAO CHA UVCCM DAR ES SALAAM JANA
Dk Magufuli alisema baadhi ya wapinzani ni waigizaji wakubwa ambao wamesomea uigizaji na wataufanya Uchaguzi Mkuu wa mwaka huu kutawaliwa na mbwembwe na maigizo mengi.

Alisema kazi kubwa ya CCM ni kukabiliana na mbwembwe na maigizo hayo ili kuyashinda.

Magufuli alisema CCM siyo watu wa matumaini, bali ni watu wa maendeleo na safari ya uhakika.

Alisema wapinzani wa CCM sasa wameanza kunukuu kila kitu hasa nyimbo za chama.

Aliwaambia vijana hao: “Katika mchakato huu na katika uchaguzi wa mwaka huu kuna mbwembwe nyingi, kuna mbinu nyingi na kuna maigizo mengi hasa kwa sababu wako wengine walisomea maagizo. Kwa hiyo tuna wajibu wa pamoja kuyashinda haya maigizo.”
source (mwananchi 17 .08. 2015)

Magufuli kakataa tamaa kabla ya kampeni, wanakitengo wana kazi kubwa sana mwaka huu.
 
NI KATIKA KAKAO CHA UVCCM DAR ES SALAAM JANA
Dk Magufuli alisema baadhi ya wapinzani ni waigizaji wakubwa ambao wamesomea uigizaji na wataufanya Uchaguzi Mkuu wa mwaka huu kutawaliwa na mbwembwe na maigizo mengi.

Alisema kazi kubwa ya CCM ni kukabiliana na mbwembwe na maigizo hayo ili kuyashinda.

Magufuli alisema CCM siyo watu wa matumaini, bali ni watu wa maendeleo na safari ya uhakika.

Alisema wapinzani wa CCM sasa wameanza kunukuu kila kitu hasa nyimbo za chama.

Aliwaambia vijana hao: “Katika mchakato huu na katika uchaguzi wa mwaka huu kuna mbwembwe nyingi, kuna mbinu nyingi na kuna maigizo mengi hasa kwa sababu wako wengine walisomea maagizo. Kwa hiyo tuna wajibu wa pamoja kuyashinda haya maigizo.”
source (mwananchi 17 .08. 2015)

SANAA ndio kila kitu kwenye maisha ya kila siku ya mwanadamu! Mwanasiasa asipofanya siasa yake kiufundi hawezi kushinda.So Magufuli kama hajui hili ameshachemka.
 
Hii arrogance yake ndio inazid kumdidimiza. C juzi waigizaji walikula nae pilau pale mlimani city leo anawadharau tena? Kuigiza si wanaihesabu katika takwimu zao za ongezeko la ajira
 
huyu anaanza mdomo wakati ana madudu kibao

1.Kamzalisha mwanafunzi wa Geology pale UD anaiwa Sundi
2.Kamuuzia Sundi nyumba ya serikali kwa 170,000/= TZS
3.Akiwa waziri alikuwa analala mabibo Hostel kwa Sundi bila kificho
4.Akiwa waziri kamjengea kimada nyumba Kunduchi Mtongani na mkandarasi ni kampuni ya SKOL ( 10% kwa kuwapa kazi labda)
5.Akiwa waziri kaitia hasara serikali ya 3bilioni kwenye kesi ya kukamata meli ya samaki
6.Akiwa waziri kabainika kwenye report ya CAG ya mwaka huu kuwa 250bilioni hazijulikani ziliko wizarani kwake
7.Akiwa waziri kampuni ya Aashlef iligoma kumpa 10% wakati wa ujenzi wa barabara ya iringa-dodoma na akiifuuza kazi.
8.Akiwa waziri alionekana kwenda samunge kunywa kikombe kwa maradhi ambayo hayajulikani haswa anaumwa nini na hili ni hatari kwa taifa.

mengine yataendeleeeaaaa

Daaaaaah!!
 
Badala afanye kampeni anahangaika na ya nyumba ya jirani..... Waliosoma uchumi wametufikisha wapi?.... Infact Lowassa ana B A Education na M A ya Development Management
 
Magufuli hajuhi siasa... Yaani yeye anafikiri siasa ni kujua kuchanganya chemicals...?? Siasa ni sayani na sanaa kwa wakati mmoja...
Akinyamazaga anaonekana kama mwenye busara... Ishu inakuja akianza kuongea..

Nimemdharau sana Mr. JohnWalker Alcohol Mapadlock...Labda angeendelea kutembea na sururu kwenye gari kukagua ubora wa barabara...!!!
 
lowassa hajawi tiwa hatiani na chombo chochote cha sheria magufuli ni chaguo la ccm na kura zao mil.6 subirni muone kura mil17 zitaamua kwenda kwa nani.
 
NI KATIKA KAKAO CHA UVCCM DAR ES SALAAM JANA
Dk Magufuli alisema baadhi ya wapinzani ni waigizaji wakubwa ambao wamesomea uigizaji na wataufanya Uchaguzi Mkuu wa mwaka huu kutawaliwa na mbwembwe na maigizo mengi.

Alisema kazi kubwa ya CCM ni kukabiliana na mbwembwe na maigizo hayo ili kuyashinda.

Magufuli alisema CCM siyo watu wa matumaini, bali ni watu wa maendeleo na safari ya uhakika.

Alisema wapinzani wa CCM sasa wameanza kunukuu kila kitu hasa nyimbo za chama.

Aliwaambia vijana hao: “Katika mchakato huu na katika uchaguzi wa mwaka huu kuna mbwembwe nyingi, kuna mbinu nyingi na kuna maigizo mengi hasa kwa sababu wako wengine walisomea maagizo. Kwa hiyo tuna wajibu wa pamoja kuyashinda haya maigizo.”
source (mwananchi 17 .08. 2015)
Maigizo ni Kila kitu chochote ambacho si halisi, kwa mfano kwenye mpira wa miguu, uki-FUNGA GOLI kwa MKONO, Hilo ni igizo, siyo halisi kwa maana ya sheria za soka!
 
Magufuli hajuhi siasa... Yaani yeye anafikiri siasa ni kujua kuchanganya chemicals...?? Siasa ni sayani na sanaa kwa wakati mmoja...
Akinyamazaga anaonekana kama mwenye busara... Ishu inakuja akianza kuongea..

Nimemdharau sana Mr. JohnWalker Alcohol Mapadlock...Labda angeendelea kutembea na sururu kwenye gari kukagua ubora wa barabara...!!!

Kuchanganya chemicals pia ni Sanaa kwa upande mwingine wa coin, so they are all artist
 
Back
Top Bottom