Hatimae wamerudisha service 9 good hours after paying. DStv mmelewa madaraka ya kuongoza katika hii sector Tanzania.
Waulizeni TTCL. Enzi hizo waliringa Siku hizi je? Mimi ninaona tuwape pole.
For how long my dear friend. It is now 20.30 PM while I paid before 14.00
If there is a problem at DStv, please share it. I have now spoken to 5 customer service ladies. Nothing doing apart from promises of " we will call back" and they forget/deliberately neglect to call back.
DStv? Are you serious?
Kama nilisafiri wakati sijalipia ila mfanyakazi wenu akaamua kuendelea kutokata huduma, mnaweza kweli hadharani bila soni tena mbele ya competitors mkasema mlinicharge kwasababu hamkukata service. Yaani una ni punish kwa kosa ambalo singejua kama DStv wanafanya kosa...
Dear DStv customer service,
Today I paid reconnection fees @19,000 around 13hrs. Wonderfully enough I have not been connected till now. Ningelipia premium ingekula kwangu.
My IUC 7029243022
What do you want me to think if some of your competitors do reconnect automatically.
I have called your...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.