Gharama za DStv Bomba

Gharama za DStv Bomba

Hakuna gharama inayoongezeka badala yake ww utakua kuna wakati ulikua unaangalia free ,,sasa inapotokea case kama hii inafanyika compasation kufidia ule muda ambao ulioangalia bila kulipia
Duh kwani hii Free aliomba mteja kama mkopo? hii sio haki, japo hii ligi imeshaisha 69,000 nitakisahau mpaka ligi ikianza tena, sasa nikilipia king'amuzi kingine, nikirudi kwenu nitakua lipa ziada
 
These guys bore a lot. I bought their set on 19/04/2019 and enjoyed their so called offer for 3 weeks. Funny enough they have of late been phoning now and then requesting me to buy a premium bundle before 19th/05/2019! At about 17:00hrs,I bought a bundle of 39,000/= ,till now no sms from them acknowledging receipt of payment. Began smelling a rat.
 
Ebo?? Nyie mna mchaji mtu kwa kuangalia free kwani yeye ndio mwizi au UZEMBE WENU?? This is rediculous..kwa nini msimwajibishe aliyeachia hizo chanel ofisini kwenu badala ya kumuu miza mteja??

Mnatakiwa kushtakiwa if that is the Case
DStv your input on this please...
 
Hatimae wamerudisha service 9 good hours after paying. DStv mmelewa madaraka ya kuongoza katika hii sector Tanzania.
Waulizeni TTCL. Enzi hizo waliringa Siku hizi je? Mimi ninaona tuwape pole.
 
Dstv,kifurushi cha bomba kina wateja wengi hebu ongezeni channels za mpira au movies latest ili ziwe kivutio na wengi zaidi wajiunge kinyume chake punguzeni bei ya vifurushi vikubwa ili wajiunge
 
Hakuna gharama inayoongezeka badala yake ww utakua kuna wakati ulikua unaangalia free ,,sasa inapotokea case kama hii inafanyika compasation kufidia ule muda ambao ulioangalia bila kulipia
DStv fanyeni mfanyalo lakini msijekunifanyia huu upuuzi wa kunicharge kwa kisingizio eti niliangalia free. Hiyo kesi yake najua mtashinda kwasababu mna hela ila ntahakikisha inafika High Court na hapo ndio mtaninunulia nyumba Masaki.
 
Karibu sana

Back
Top Bottom