Nimejitahidi sana kuuambia na kuuzuia moyo wangu usikupende lkn umenigomea kabisa na leo cku ya saba moyo unaimba tu jina lako asubuhi, mchana na jioni.Hakika naona tayari u sehemu ya moyo wangu si kwa maneno bali matendo ya moyo.Niko tayari kukupokea kwa dhati mama.Pokea huu moyo pse
Ni vema kutofautisha mama, mpenzi na mke.Mama ana haki na stahili zake, hali kadhalika mke au mpenzi.Jambo la msingi ni kutimiza wajibu wako sawa sawa.Aidha, ni vizuri kutenga moyoni nafasi ya kipekee moyoni ya wazazi lkn pia kuweka nafasi pekee ya mke , mchumba au mpenzi.Kila mmoja hapo anacho...
Maslow ni msomi au mwanazuoni,aliyefanikiwa sana kufafanua mahitaji ya binandamu kwa kuzingatia hitaji lipi huanza na lipi hufuata.Akaonesha matano
1.chakula,kinywaji, malazi, usingizi na KUFANYA MAPENZI
2. Usalama binafsi
3.kupendwa, kupenda au suala la mahusiano na jamii.
4.Mafanikio au kukua...
Shekhe muda na wakati wote in public anajua ni jambo gani sahihi la kuongea.He is very wise and has presentation soft skills.I am not a moslem but I do acknowledge this Shekhe!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.