Hatua za mahitaji ya binadamu kwa mujibu wa Maslow

dimoso10

Member
Dec 14, 2016
10
45
Maslow ni msomi au mwanazuoni,aliyefanikiwa sana kufafanua mahitaji ya binandamu kwa kuzingatia hitaji lipi huanza na lipi hufuata.Akaonesha matano
1.chakula,kinywaji, malazi, usingizi na KUFANYA MAPENZI
2. Usalama binafsi
3.kupendwa, kupenda au suala la mahusiano na jamii.
4.Mafanikio au kukua na kufanikiwa kiuchumi na ktk nyanja nyingine
5.Heshima na kutambuliwa na jamii ,

HOJA YANGU
Kwa nini Maslow aliweka aliweka hili la kufanya mapenzi kati ya mahitaji namba moja na sio namba 5? Sex ni kweli moja ya mahitaji namba moja.

Note.Lengo la mada ni kutafta kuongeza maarifa.MAARIFA NI NGUVU.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom