Wafanyakazi wa Tanzania wameonewa vya kutosha, mshahara mdogo, kodi kubwa, bado serikali inaweka sheria ya ukandamizaji, kwani mafao haya nikiwa hai au nikiwa nimekufa? Life expectance according to Demographic Health survey 2004, women is 46 years, male is 44. Kwa hiyo miaka 55 wakati wa...