Baraza la wawakilishi Zanzibar latetea matumizi ya bendera ya taifa kwa meli za Iran

..this is a scandal.

..I am sure Dr.Shein na Balozi Seif Iddi hawakuwa na habari na suala hili.

..ZNZ na wakala wao huko Dubai wanapaswa kufuta usajili wa hizo meli haraka iwezekanavyo.

..what if USA na marafiki zake wakiamua kulipiza kisasi na kuziwekea vikwazo meli zote zinazopeperusha bendera ya Tanzania?? Is Tanzania ready for that??

Punguza kwanza jazba

Je Zanzibar imevunja mkataba wowote wakimataifa?

Upi na sheria zipi?
 
Ship Registrar, Admnistrator/Govt.Representative - Mr. Abdulla Mohammed Abdalla, popote alipo akamatwe na ahojiwe kwa nini alitoa kibali cha kusajili (re-flag) meli za mafuta za Iran na kuruhusu zipeperushe bendera ya taifa letu??!!??

Hivi huyuuu.... sio waziri wa nchi jirani ya zanzibar kweliii....? Kama ni yeye itakuwa ngumu kumkamata, labda sijui....., naona tuwaachie wenyewe wazenji....aaarrghh!!!

ACP Msangi amefahamishwa juu ya hilo tukio?
 
Wakati mataifa ya Magharibi yanatishia kuiwekea vikwazo Tanzania kwa kuruhusu usajili ya meli za mafuta za Iran na kutumia bendera ya Taifa, baraza la wawakishi Zanzibar, limesema Zanzibar kama sehemu ya Muungano wa haki ya kusajili meli ya Iran au nchi yoyote ile kwa maslahi ya Wazanzibar na kuwa taarifa na kelele zinazoendelea ni njia ya kutaka kuwakatika tamaa Wazanzibar kujiletea maendeleo.

My take:

Huu ni mwendelezo wa kutaka kuhalalisha kuvunjika kwa muungano.

kutumia bendera ya jamhuri ktk mambo ya kimataifa kunalindwa na bunge la muungano. how comes znz gov waidhinishe matumizi hayo ya bendera ya jamhuri bila idhini ya bunge? labda km wanatumia ya znz ingawa najua haitambuliki kimataifa. wajuzi wa tasnia hii tupeni data.
 
Mkuu, ningependa kila mmoja asome post yako. Tatizo hata sheria uliyotaja na Sheria ya Zanzibar, japo mwishoni imetaja kwamba meli ikifanywa hivyo itakuwa mali ya TANZANIA.

Lakini hujataja sheria ya namna hiyohiyo huku TANGANYIKA yaani Bara au hata Sheria ya Muungano kuhusu suala hilo.

Bado kuna deni na si kwamba hapo umemaliza tatizo.
Nilishawahi kusema mara kadhaa kuwa sheria zetu (na Muungano wetu) ni legelege a.k.a. dhaifu. Mimi sihalalishi wala kupinga sheria hiyo ya Zanzibar, lakini ipo tangu mwaka 2006 (miaka sita), sasa kwa nini kama ni kosa la "Kimuungano" serikali ya Muungano imenyamaza miaka yote sita?
 
GREAT THINKERS

Je zanzibar imevunja mkataba upi kwa kimataifa kwenye hili suala?

naomba mwenye hiyo sheria iliyovunjwa atuletee

naamini GREAT THINKERS sio watu wa kubwabwaja tuu bila kuleta huo mkataba wa kimataifa uliovunjwa na serikali ya Iran
 
GREAT THINKERS

Je zanzibar imevunja mkataba upi kwa kimataifa kwenye hili suala?

naomba mwenye hiyo sheria iliyovunjwa atuletee

naamini GREAT THINKERS sio watu wa kubwabwaja tuu bila kuleta huo mkataba wa kimataifa uliovunjwa na serikali ya Iran

KWa kusajiri meli kwa kutumia sheria za smz na kuweka bendera ya jmt.
 
Nilishawahi kusema mara kadhaa kuwa sheria zetu (na Muungano wetu) ni legelege a.k.a. dhaifu. Mimi sihalalishi wala kupinga sheria hiyo ya Zanzibar, lakini ipo tangu mwaka 2006 (miaka sita), sasa kwa nini kama ni kosa la "Kimuungano" serikali ya Muungano imenyamaza miaka yote sita?

Hapa utapewa jibu kwamba '' hili jambo hata mimi naliona kwenye mitandao, kwa kweli hatukujua, tutamwambia mwanasheria mkuu wa seriali alifuatilie, na tutatoa taarifa'' hili ndio litakuwa jibu...
 
Zanzibar inavunja sheria kwa kusajili meli kwa sheria za Zanzibar na kutumia bendera ya Jamhuri ya muungano wa Tanzania.Mpaka sasa Zanzibar hawajapata mbinyo wa Marekani na nchi za jumuiya ya Ulaya kwakuwa bendera inayotumika ni mali ya Tanzania.Ifahamike Zanzibar wana bendera yao,wimbo wao wa taifa,Rais na makamu wawili wa Rais ambao hawatambuliwi na katiba ya JMT.

Marekani na umoja wa nchi za ulaya wataibana serekali ya Tanaganyika wakati watenda makosa ni waZanzibar.


GREAT THINKERS

Je zanzibar imevunja mkataba upi kwa kimataifa kwenye hili suala?

naomba mwenye hiyo sheria iliyovunjwa atuletee

naamini GREAT THINKERS sio watu wa kubwabwaja tuu bila kuleta huo mkataba wa kimataifa uliovunjwa na serikali ya Iran
 
Hapa utapewa jibu kwamba '' hili jambo hata mimi naliona kwenye mitandao, kwa kweli hatukujua, tutamwambia mwanasheria mkuu wa seriali alifuatilie, na tutatoa taarifa'' hili ndio litakuwa jibu...
Hili ndilo tatizo letu Mkuu. Hii nchi imekuwa ya kila mtu kufanya anachotaka. Katiba yetu sheria zetu zimejaa matundu. Baba wa nyumba hujui au unapuuza kinachofanyika nyumbani mwako mpaka usome kwenye mitandao na vyombo vya habari, tena vya nje.

Zanzibar inavunja sheria kwa kusajili meli kwa sheria za Zanzibar na kutumia bendera ya Jamhuri ya muungano wa Tanzania.Mpaka sasa Zanzibar hawajapata mbinyo wa Marekani na nchi za jumuiya ya Ulaya kwakuwa bendera inayotumika ni mali ya Tanzania.Ifahamike Zanzibar wana bendera yao,wimbo wao wa taifa,Rais na makamu wawili wa Rais ambao hawatambuliwi na katiba ya JMT.

Marekani na umoja wa nchi za ulaya wataibana serekali ya Tanaganyika wakati watenda makosa ni waZanzibar.
Sina hakika kama ZNZ inavunja sheria za JMT au la, lakini ninachojua ni kuwa ZNZ walijitungia sheria inayohusiana na jambo hili tangu mwaka 2006 na tangu mwaka 2009 mpaka sasa tayari wameshasajili meli 366 za mafuta na mizigo. Serikali ya Muungano muda wote huo kwa nini inakaa kimya?

Mtoto akiwa mwizi/anayevunja sheria, anayeharibu mali za watu, wa kum-bana ni mdhamini wa nyumba.
 
kazi ipo mdau,,,,,,kwani tanzania na Iran kwa sasa wana deal gani????

Ama kweli viongozi kukosa muelekeo na utashi wa kuongoza nchi itatu-cost, mambo mengi ya ajabu yanafanyika, sasa hii ku-reflag bendera yetu kwenye meli ya mafuta ya IRAN, inaamanisha nini, sio bure tukae chonjo, la sivyo tutatengeneza bifu na maadui wa IRAN, marekani ni mmojawapo.
Dimosso
 
The Zanzibar government yesterday defended its move to register Iranian oil tankers, saying it didn't break any laws as claimed by a section of the international media early this week.


Zanzibar Infrastructure and Communication minister Hamad Masoud Hamad refuted reports that the Isles government had registered Iranian oil tankers as reported by Bloomberg News Agency early this week.
The minister admitted however that the said Iranian oil tankers were previously registered in Cyprus and Malta islands.
Briefing the House of Representatives yesterday, Hamad said the registered oil tankers were not covered by international sanctions imposed on Iranian ships by the European Union and the United States.


The minister stated that according to the Zanzibar Marine Transport AuthorityAct, number 3 of 2009, and the Zanzibar Marine Transport Act of 2006, the Isles government had full autonomy to register international ships.
According to the minister, Zanzibar entered into an agreement with a Dubai-based company, Philtex Ltd, to act as its agent in the registration of all international ships, known in the shipping industry as ‘open registry'.
The minister added that open registry had been in effect since 2009, whereby a number of international cargo ships, oil tankers and passenger vessels were registered in Zanzibar.


Contrary to the media reports, the minister said, the vessels claimed to belong to Iranian authorities were in fact owned by British nationals living in the Virgin Islands and the Seychelles. The minister warned against interference by the union government in the matter as promised by his counterpart, Dr Harrison Mwakyembe, saying marine transport in Zanzibar wasn't a union affair.


Citing relations between Iran and Zanzibar, the minister said the two countries had strong ties, adding that that was why Iran's vice-president recently visited the Indian Ocean archipelago to discuss how to strengthen the relations. He warned that Zanzibar wasn't ready to be dragged into the ongoing conflicts between Iran and Western countries.
Speaking about the Iranian tanker flying the Tanzanian flag, the minister said since Zanzibar was part of the union, there was nothing wrong for vessels registered in the Isles to fly the union flag.


"But if the Tanzanian government won't feel comfortable with the tankers flying the union flag we are ready to let them fly the Zanzibar flag. This is no big deal and it should not be blown out of proportion," the minister said.
On Monday, Bloomberg News Agency reported that NITC, an oil-tanker company owned by Iranian pension funds, renamed at least 10 of its vessels and switched them to flying the Tanzanian flag amid increasing curbs on transactions with the Persian Gulf nation.


NITC renamed five large crude oil carriers, each with a capacity to hold about 2 million barrels of oil, and five Suezmaxes, hauling 1 million barrels each, according to the Equasis shipping database maintained by the European Commission, Bloomberg reported. Ownership was switched from NITC to new companies operating from the same address in Tehran and NITC remains the operator, the data show. All the ships were previously registered in Malta or Cyprus.


A European embargo on Iranian crude exports, which comes into effect on July 1, extends to insuring vessels that carry oil. Twenty-five NITC tankers are being used to store crude, the Paris-based International Energy Agency said on June 13, this year.
The US and Europe said Iran's nuclear programme was aimed at developing atomic weapons while the government in Tehran says it is for civilian purposes.


Habibolah Seyedan, NITC's commercial director, was unavailable for comment, said a person who answered a call to his office yesterday. The company lists 39 tankers on its website. Philtex Corp. operates the administrative office of the Tanzania Zanzibar International Register of Shipping from Dubai, according to the register's website.
A message to the listed e-mail address for enquiries wasn't immediately answered.

sosi: IPPMEDIA
 
..wapeperushe bendera ya Zanzibar.

..wa-Tanganyika milioni 40 tunategemea nchi za magharibi kufadhili bajeti yetu.

..Zanzibar should not put us at risk ya kunyimwa misaada.
 
Back
Top Bottom