Recent content by dikteta2020

  1. D

    DOKEZO MSD ilikabidhiwa kiwanda cha madawa Keko lakini kinaelekea kufa…

    Viongozi wa serikali nao kuwaza matumbo yao hawajambo mtu akipata chance basi lazima mpaka pakauke ndo anastuka
  2. D

    DOKEZO MSD ilikabidhiwa kiwanda cha madawa Keko lakini kinaelekea kufa…

    Hapo cha kuangalia kwann kiwanda hakipewi kipaumbele na wanaokimiliki? Au ndo huyo mbia kashatembeza rushwa serikalini
  3. D

    DOKEZO MSD ilikabidhiwa kiwanda cha madawa Keko lakini kinaelekea kufa…

    Kwa mujibu wa dokezo aliyepokonywa kiwanda ndiye mvurugaji sasa na alipokonywa baada ya kushindwa kukiendesha. Mbona mdau kaelexea hapo mzee baba
  4. D

    Hizi kelele zinanipa huzuni Sana tokea hata Mara 1 uwafunge watu midomo

    Kakudanganya nani? PM alikuwa awe Mbeya leo na ziara imehairishwa hadi itakapotangazwa tena.
  5. D

    Rais Magufuli aivunja Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam na kuipandisha hadhi Halmashauri ya Manispaa ya Ilala

    Kwahiyo kale ka Mbeya au Ka Dodoma kuwa jiji ni sawa huku Temeke ikiwa manispaa. Unajua mapato ya Temeke wewe? Unaweza kuyalingalisha na ya Mbeya mjini ambayo ni jiji?
  6. D

    TANZIA Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Simiyu, Enock Yakobo afariki dunia

    Katibu mwenezi wa CCM mkoa wa Simiyu ndugu Mayunga George anatangaza kifo cha mwenyekiti wa CCM mkoa ndugu Enock Yakobo kilichotokea leo jumanne februari 22. Habari kamili zitawadia baadaye.
  7. D

    Serikali kutumia ndege kumwaga viatilifu kuangamiza nzige Longido na Simanjiro, shule kufungwa!

    Ayaaaaa beberu kaleta viwili kwa mpigo! Kweli hii ni vita ya kiuchumi. Nashauri tupeleke majeshi yetu huko bahari ya Atlantic ili tumsambaratishe beberu Marekani. Au nasema uwongo ndugu zangu?? Vita ya kiuchumi ni mbaya kweri kweri!
  8. D

    TV yangu haionyeshi rangi vizuri. Mafundi saidieni

    Mkuu, hela ya KIOO ni Tshs laki mbili pamoja na ufundi. Wasalimie mafundi ukifika.
  9. D

    Rais Magufuli: Watanzania endeleeni kuchukua tahadhari dhidi ya Virusi vya Korona. Sijazuia matumizi ya Barakoa!

    Masikini Jaji Mihayo amekutana na Jiwe akavua kabarakoa kake. Siku akifa tunaambiwa kuwa wamekufa kidogo tuu ukilinganisha na huko duniani.
  10. D

    TANZIA Aliyekuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mipango, Dkt. Servacius Likwelile afariki dunia

    Vicky Kamata atangaza kuondokewa na mwenza wake Dkt. Servacius Beda Likwelile. Moja ya wahadhiri nguli na wanazuoni wa kitanzania Dkt. Servacius Likwelile hatunaye. Dkt. Likwelile amewahi kuhudumu katika Wizara ya Fedha na Mipango kama Katibu Mkuu kabla ya uteuzi wake kutenguliwa mwaka 2016...
  11. D

    TANZIA Mama mzazi wa Tuly Nasa (Kada wa Chadema aliyefariki wiki iliyopita) naye afariki dunia

    Chadema inatangaza msiba wa mama mzazi wa Tuly Nasa aliyekuwa kada wa Chadema ambaye kwa sasa ni marehemu aliyezikwa wiki iliyopita. Msiba umetokea leo alfajiri. Wiki iliyopita mama huyo alikuwa mzima na alishiriki mazishi ya mwanaye huyo wa kike. Picha mama mwenye nguo nyeupe (ambaye...
  12. D

    Trump huenda akaanguka Urais Marekani, Macho yote majimbo(state) matatu Nevada, Wisconsin na Michigan

    Imeisha hiyo. Joe Biden ameshashinda na Nevada imeamua tayari. Ninachowasifu wamarekani wao wameamua kuondoa takataka lao. Sisi acha tuendelee kubaki na ujinga wetu
Back
Top Bottom