Recent content by Dikolagwa

  1. D

    JamiiForums Tanzania Mhadhiri Chuo Kikuu UDOM auawa kwa kuchomwa kisu na mumewe kwa wivu wa mapenzi

    Hii dunia inaelekea wapi jamana..hata wachunga kodoo za bwana nao sasa wanaua watu kinyama ?
  2. D

    JamiiForums Tanzania Kuchamba kwa maji ni uchafu uliopitiliza na hatari kwa afya

    Nadhan hapa hoja ni kunawa mikono na sabuni kila unapomaliza harakati za maliwatoni..haijalishi umetumia maji au karatasi
  3. D

    JamiiForums Tanzania Kwanini wachina wapange kulima heka millioni 2.5 DRC za mawese na sio Tanzania yenye amani?

    Unayo mazingira bora kwa wakwekezaji ?
  4. D

    JamiiForums Tanzania Kaniomba nimsindikize kwake alichonifanyia sitasahau

    Unawaza mimba tu, kapime kwanza vvu..
  5. D

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Safaricom beats expectations as profit soars 20% to $550M

    Welldone Safaricom
  6. D

    JamiiForums Tanzania Kushindikana kwa maandamano ya Mange kumeacha maswali gani?

    Kwa mm nadhan Mange amefanikiwa kwa kiasi kikubwa sana, tumeshuhudia vyombo vya ulizi vikihaha kila kona ya nchi kuhakikisha hakuna mtu anayeingia barabarani..kwahiyo unaweza kusema jeshi la police liliandamana kwaniaba ya raia
  7. D

    JamiiForums Tanzania Hisia na hamasa za Maandamano nchini: Mapokeo, Mitazamo na Uhalisia (Viongozi na Wananchi)

    kutishana haina maana, ka a maandamano ni ya amani kwann dola itumiue nguvu..
  8. D

    JamiiForums Tanzania Wateja Vodacom kuendelea kupata huduma ya luku kupitia M-Pesa

    Hapa tu ndo nachoka mm, pamoja na ugumu wa maisha unatukabiri lkn bado tunajengewa mazingira magumu kupata huduma, Nadhan serikali yetu uliangalie hili maana wao ndo wanaotupeleka kwenye mifumo ya namna hii
  9. D

    JamiiForums Tanzania Zitto: Kuwasweka ndani viongozi wa CHADEMA ni tishio kwa demokrasia

    Hakika ni jambo la kusikitisha sana, hapo ndo napata picha kumbe hakuna pasaka bila ijumaa kuu viongozi wa CDM machozi yenu juu ya kupigania haki yahataenda bure ipo suku faraja itakuwa upande wenu
Back
Top Bottom