Kaniomba nimsindikize kwake alichonifanyia sitasahau

Nikiwa napiga story na mashost zangu akapita kaka ni rafiki yangu sana akaniambia nipande gari nimpe kampani kwani kunadocument anaenda kuchukua nyumbani kwake afu tutarudi wote.

Tulipofika nyumbani ile kuingia tu ndani akafunga mlango kwa funguo na kudai kuwa ananipenda sana na siwezi kutoka bila kumpa penzi.

Nilipojaribu kujitetea alinishika kwa nguvu bahati mbaya nilivaa kagauni kepesi yani alikanyanyua tu juu kilichoendelea hapo ni bingilibingili bayoyo, nawaza tu hapa asije akawa kanipa mimba maana ninampenzi wangu nampenda sana.
Maskini Nandy,daaah!!!! ndo basi tena
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom