Recent content by DIKASHWA

  1. DIKASHWA

    Mitsubishi Outlander PHEV – SUV kali ya Hybrid na Kuchaji kwa wapenzi wa EV!

    alafu ina space kubwa seven seaters hyo sijajua ubora wa battery inaweza kuishi kwa miaka mingapi na bei ya kureplace battery inaendaje
  2. DIKASHWA

    UDSM yaingia mkataba kujenga kituo kikubwa cha biashara zaidi ya Mlimani City

    FYI ili eneo la Hillpark lipo muda mrefu ni opposite na Shule Kuu ya Biashara ,ni la zamani na limechoka sana hvo wameingia ubia kulitengeneza na kuwa la kisasa , kama mnavojua UDSM nzima hamna recreation centre yoyote ukiachana na hill park ambayo ishakuwa mahame , so msikurupuke kuandika bila...
  3. DIKASHWA

    Mazda CX 5 inanifilisi!

    huyu hana gari hyo castol oil 5w30 ni 170,000 + FILTERS 50,000 hyo laki saba ameitoa wapi , then taa za CX5 hata laki 3 haifiki hz gari tunazo ni mwaka wa 3 sasa na majanga tunapata lakini sio kwa hizo gharama anazozitaja
  4. DIKASHWA

    Ni nini hasa kinafanya mtu anabadilika mwili na sura haraka..?

    Kula vuzuri, fanya mazoezi , Pata muda wa kupumzika , kama ni mnywaji kunywa pombe kiasi mara chache , jiepushe na migogoro ya familia kama ni mke kaa na mmoja , punguza stress za familia punguza kuwaimpress watu ishi kwa kipato chako. Epuka mikopo kausha damu ,
  5. DIKASHWA

    Vijana: Akikupa pesa mpe na wewe, akikupa penzi mpe penzi. Peaneni sio wewe ndio uwe tuu unampa

    Nasisitiza wanawake waliowengi ni wabinafsi they have nothing to provide for us rather than sex and UTI so jifunze kutuliza shobo kwa wadada na sometimes jifunze kusema No , akikuomba ela sema no , hyo 20k au 30k unayompa ukiiweka UTT au ukanunua cement utafika mbali, sex is not food kusema...
  6. DIKASHWA

    HATIMAYE: Mazda CX-5 imeingia Top 5 ya gari zinazoingizwa Tanzania kutoka Japan

    Kwanza Dualis zilipanda bei kwa haraka sana mwanzoni hata 14m ulikuwa unapata ghafla zikafika 22 watu wakaona hamna value for money Pili zimekuwa na record mbaya ya kuungua pasipo na sababu za msingi Tatu ujio wa Forester , Outlander na CX5 ambao unashabiiana bei na Dualis watu wakabadili mtazamo
  7. DIKASHWA

    HATIMAYE: Mazda CX-5 imeingia Top 5 ya gari zinazoingizwa Tanzania kutoka Japan

    Hichi kitu nilishawahi kukigusia miaka 4 iliyopita Mazda kwanini hazipendwi Tanzania ilhali bei yake ipo chini? Na nilibahatika kununua ya Petrol , ijapokuwa ya petrol bei yake imechangamka kidogo ila ni gari zuri la kuishi nalo kwa upande wa safari nimeenda nalo Moshi 2 tymes wese ni ni mnuso...
  8. DIKASHWA

    Utapeli wa kuagiza gari Japan

    Pole sana , kuibiwa kunauma sana but move on , ulikopata hii 9M utapata nyingine Inshallah, nasikia Simba la Masimba Dangote naye kapigwa B4 ya private jet
  9. DIKASHWA

    Ushauri kwa mabinti wenye miaka 18 - 35

    It seems kuna mtu unamfokea , kila mtu ana maisha yake unachikiona wewe ni kizuri haina maana kwa wengine ni kizuri pia, siku ukiacha kufuatlilia maisha ya watu na kudeal na issues zako utatoboa
  10. DIKASHWA

    Hivi kuna Route ndefu kuishida Dar - Karagwe?

    Hyo root ni ndefu aisee ila barabara ya Benaco ikikamilika itapungua kidogo
  11. DIKASHWA

    Msaada: Mahali gani pazuri kwenda outing hapa Dar kwa 50k?

    Au ampeleke coco wale mihogo na juice ya miwa kama nguruwe
  12. DIKASHWA

    Msaada: Mahali gani pazuri kwenda outing hapa Dar kwa 50k?

    Kwanza huyo Manzi ni type gani , pili hyo 50 inainclude na transport?? Tatu Huyo Manzi ushamzagamua au ndo unaenda kurusha ndoano? Fanya hvi kama hujamzagamua kabla ya kumpeleka hyo mitoko yako ya njaa njaa hakikisha awe anajua baada ya mtoko kifuatacho ITV ni mzagamuo Kuhusu sehemu za kutoka...
Back
Top Bottom