Msaada: Mahali gani pazuri kwenda outing hapa Dar kwa 50k?

Wasiwasi ndo akili. We ujipeleke viwanja vya ushuani na 50K kweli tena upo na demu si kutafuta balaa tu hapo.
Hivi mtu ukisema una budget ya 50K maana yake ni kwamba unakuwa na 50K net au unakuwa na zaid ya hiyo ila umepanga kutumia 50K tu?

Binafsi, siwezi kutoka na mwanamke jijini Dsm nikiwa na 50K tu mfukoni. Ni hatari sana. Hatari mno. Sema tu ni vile tunatofautiana.

Mwenye masikio na asikie
 
Mkuu, umenivuruga sana ulivotaja sehem nyingi.

Hebu tufanye ndio wewe unataka umtoe msichana out (jioni kuanzia saa moja hadi sita usiku). Nimeona umetaja maeneo ya beach, inapendeza kwenda beach usiku kweli?

Kumbuka tunatoke evening dinner. Haya, tuseme saa mbili usiku.

Hela unayo, lakin umeweka limit max utumie 30k mpaka 40k.

Mlimani City (mle ndani) tupatoe maana rafiki zake wengi naweza kutana nao, itakua jau.

Naomba uniwekee sehem tatu most recommended kwa mazingira hayo. Wote hatunywi pombe.

Nataka leo jioni nimtoe out. Nampenda sana
Sasa mkuu kwa bajeti yako si bora ww unywe maji dem ale vizur mpeleke fish market utojutia kabisa
 
Outing ina mambo mengi mkuu

40k budget

1 pizza hut iliyopo maeneo ya mkuki mall
Hapo mtapata menu yenu kali sana mfano my box ni 16.k combo ya pizza chiken soda chips pitia kwa page yao utaiona

2 shawarma 27 asikuambie mtu wanawake wanapenda kula hapa utapata kisinia cha watu wa 2 kisicho zidi 25k combo ya kutosha ya kula ku relax na mtu wako kwa hapa town hilo ni chimbo namba 1 kwa outing upande wa kula kula

3 cinema aura mall karibu na kfc pale hapa mzee inabid upitie page yao uone ratiba ya movies zilizopo na manzi yako anapendelea nini keep it mind wahuni tunapo zungumzia movie cinema hua haiishii hapo
It means unabaki na akiba ya kumtoa mtoto sehemu ya kula cones bites...( cinema 2* 20k popcorn junks + soda 10k) after sinema bakhresa scoop cones ni 2k and 3k the best ones hapo umemtoa out mtoto anaona ume spend kumbe kiuhuni tu ili mradi ka enjoy adventure yenu

Dinner

Hapa bana ngoj wavitengo hivi waje wakupe maelekezo kwa budget ya 40k msosi wa wawili ina fancy place kama golden tulip serena hyatt its possible ila andaa pesa ya emergency uchelew kuskia menu zinaanzia 35k mlo wa mtu mmoja hapo hamna juice wala nini
Wewe jamaa ni wa ukweli sanaa.

Katika hizo sehemu tatu nimeikubali hiyo Pizza Hut. Kwanza gharama haizidi 30k safiii.

Umesema ipo Mkuki Mall... Ni maeneo gani hayo .. kule Posta?

Hizo sehem zingine sijazikubali kivile.

Nielekeze hiyo Pizza Hut iko wapi mkuu. Ngoja nimpigie kabisa simu mtoto ajiandae.
 
Mkuki ipo pale kariakooo kama unaenda gongolamboto
 
Waungwana kwema?

Wale wa kataa ndoa endeleeni ninawatia moyo ili mtafute amani yenu na sisi tunaotaka kuoa tuwe makini kuchagua na wenye majukumu ya kitaifa tunawatia moyo

Ninaulizia sehemu nzuri ambayo ina hadhi ambapo ninaweza mpeleka manzi kwa ajili ya dinner kwa gharama isiyozidi 50000

Natanguliza shukrani
Goba center, unabaki na salio
 
Nimeona aisee...

Daah kule mbali sana.

Yaani tufunge safari kutoka Ubungo hadi Kariakoo kisa kula Pizza !!

Bora nifikirie chimbo lingine tu.

Ngoja niendeeee... Sijui niende wapi, mmmhhh... Duh.
Starehe gharama bloody watu wanakaa gongo la mboto mtoto anakaa goba ila pizza hut inaendeka kwa budget ya almost 40k ndo tunavoishi nao

its just matter of jee anaridhika na ulicho nacho is she free with you anaile autonomy and flexibility ya ku enjoy na mfuko ulio jaalowa mfano
Mnaweza panda bolt toka ubungo tu posta its like nijaribu ku search hapa on bolt kwa boda ni 6-7k per trip kwa gari ni 13k per trip yani kama ni go and return ni almost 15k kwa boda na 22k budget per car kitu ambacho kama mwanaume lazima uoneshe uwanaume wako mbele ya mtu wako ndio umwamba yani una fanya jambo laku create memories kweny kichwa chake

Mimi sometimes bro huwa tunachukua hata mwendo kasi ujue kitu ina itwa outing watu wana claim kama ni jambo la fasta fasta tu hapana kwa mwanamke ni anataka a enjoy every second ya hio moment mkiwa wawili hata kama mtakula ice cream at least she is happy with the moment mnayo spend together

Kwa unavosema upo ubungo i guess sinza na tabata zinaweza kuwa location kali ni chap tu kwenda kurudi

Make her happy bro usituangushe you got it king
 
Facts
 
Wewe jamaa ni wa ukweli sanaa.

Katika hizo sehemu tatu nimeikubali hiyo Pizza Hut. Kwanza gharama haizidi 30k safiii.

Umesema ipo Mkuki Mall... Ni maeneo gani hayo .. kule Posta?

Hizo sehem zingine sijazikubali kivile.

Nielekeze hiyo Pizza Hut iko wapi mkuu. Ngoja nimpigie kabisa simu mtoto ajiandae.
Branch zingine za Pizza hut zipo Oysterbay, na Mikocheni sio lazima mkuki
 
Kwanza huyo Manzi ni type gani , pili hyo 50 inainclude na transport??
Tatu Huyo Manzi ushamzagamua au ndo unaenda kurusha ndoano?

Fanya hvi kama hujamzagamua kabla ya kumpeleka hyo mitoko yako ya njaa njaa hakikisha awe anajua baada ya mtoko kifuatacho ITV ni mzagamuo

Kuhusu sehemu za kutoka kama anakaa Goba mpeleke Montana ni pakishua kiasi na bei zao ni za kizalendo kwa maeneo ya Beach sio mbali na Montana Panaitwa Dynast ununio napo ni pazuri unaweza kuenjoy kwa hyo pesa ndogo
 
Buguruni malapa, kuna mzee anachomq matiti ya ng'ombe na makongoro ya mbuzi. Unajichagulia mwenyewe kisha anayapiga viungospesheli na kukuchomea. Ni matam kinyama, shemu hatajutia . Budget haifiki hata 3000. Hiyo 47,000 ingia nayo popote hata Sea criff baada ya kuwa mmeshiba vyakula vya utalii wa ndani.
 
Hivi mtu ukisema una budget ya 50K maana yake ni kwamba unakuwa na 50K net au unakuwa na zaid ya hiyo ila umepanga kutumia 50K tu?

Binafsi, siwezi kutoka na mwanamke jijini Dsm nikiwa na 50K tu mfukoni. Ni hatari sana. Hatari mno. Sema tu ni vile tunatofautiana.

Mwenye masikio na asikie
kama salio ni 50K tu mwenyewe sitoki nitaumbuka, kuna pisi zinaagiza utadhani zinakomoa.
 
Back
Top Bottom