Mleta mada ni wazi utaratibu wa uchaguzi wa vingozi wa KKKT huujui maana kama ungekuwa unaujua usingeandika kuwa eti kiti cha Askofu kinagombewa. Nakuomba urudi utafute na usome vizuri Katiba ya Dayosisi yoyote ya KKKT ukikuta kipengele hicho uje hapa ulete mrejesho.
Kanisa hili ni taasisi...
Mkoa wa Kilimanjaro kieneo ni sawa na Wilaya ya Uyui Tabora huwezi linganisha na Mkoa wenye mita za mraba zaidi ya elfu 40 na Kilimanjaro yenye mita za mraba elfu 13. Rudi darasani.
Habari za majukumu. Kiwanja Dodoma ulishapata? Kama bado mimi ninavyo viwanja kadhaa katika eneo na Vikonje jirani mtaa ambao huko katikati ya mji wa kiserikali na Ikulu.
Nikurekebishe, Rais hapewi maelekezo na mtu yeyote bali ni maelezo. Yeye ndiye hutoa maelekezo.
Pia katika hali ya kawaida afisa wa ngazi ya chini hawezi kumpatia maelekezo afisa wa juu yake bali wa juu ndiye hutoa maelekezo kwa wa chini yake.
Mimi niko Dodoma huu ni mwaka wa 27. Dodoma ni mji mzuri sana kuishi na hata bei za viwanja vya kujenga ambavyo vimepimwa ni bei ya chini ukilinganisha na miji mingine.
Kuhusu mzunguko wa fedha kwa sasa ni mzuri maana watu wameongezeka sana. Wewe fika mwenyewe tembea ujionee kisha ufanye...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.