Huyu DJ amewezaje kumiliki mali zote hizi?

Huyu DJ amewezaje kumiliki mali zote hizi?

Hesabu rahisi tu, Chukulia mtu kaenda mjini dau limepanda na sasa ana uwezo wa ku-charge more than 5m kwa performance moja, Pigia kwa week zile siku tatu pekee za weekend (Ijumaa,Jmoss & Jpili) Akapiga Viwanja 6 Two in one times 3, Moja kwa moja jamaa kwa week akawa na uwezo wa kutengeneza 30m per 1 week.... Hiyo 30m Pigia toka Apambe moto kaipiga mara ngap... Utakuta hadi sasa ana week zaidi hata ya 50 so fanya 30m×45 weeks minimum alafu pigia hesabu na hivyo anavyopiga navyo picha japo nyumba itakuwa ya kupanga utagundua anafika kwenye 1.3B.... Sasa hivi vi-range used vya bongo vya 50m anapata vingapi
 
Inawezekana kuna njia nyingi za kujipata Katika hasa ukiwa sober 24/7

Don't die broke
Don't die in ur neighborhood's house
 
Nime register he acts suspiciously very different in private ukilinganisha na wakati akiwa kazini mbele ya watu wengi akifanya uDJ wake. Nyumbani anakuwa mpole almost passive na normal kabisa, lakini akiwa "in the DJ mode" jukwaani anakuwa mnyama kama kapagawa. Kuna kitu anatumia.
 
Umekosea mno. Katika nchi yoyote ni muhimu sana kila raia ajulikane anafanya kazi gani na kipato chake ni kiasi gani na kinatokana na nini. Of course siyo lazima umma ujue, lakini kila serikali inatakiwa kujua chanzo na mapato ya raia wake. Jambo jingine: Kila mtu nachosposti kwenye social media ii umma uone, kinaweza kuhojiwa. Uki post mabunda ya fedha nyingi, watu wana haki ya kuhoji yametoka wapi. Uki post nyumba na magari umma utahoji. Na mbaya zaidi kama kazi unayofanya haiendani na kipato au mali unachoonyesha, umma utahoji kwa nguvu zote.
Unaweza kuhoji mafanikio ya mo dewji ?
 
Nimepita mahali nikaona mapicha picha ya kijana mwenzetu dj yule wa kupiga miluzi jina limenitoka amepost picha ya ghorofa lake pmj na gari kadhaa hapo nnje yenye thamani kubwa ya dola za kimarekanj zipatazo dollars $700,000 Hivi.

Sasa Kam kawaida yangu mzee wa kohoji hoji nauliza Ni udj tu au kuna mengine nnje ya pazia.

Mbona mm mwaka 2002 had 2020 nilikuwa dj na sijapata mawe ya maana zaidi ya misozi na mitungi tu kwenye mahaurusi na kuchukuwa piss Kali ila pesa hakn inakuwaje dogo huyu kunipita parefu?

Kuna mwamba mmoja aliulizwa, hivi tufanyeje ili na sisi tuwe na mawe kama nyie? Jibu lake, mjini ukitaka hela kubali ule vya watu na wewe uliwe! Kwa hiyo mkuu utajiri una siri kubwa sana!
 
Hesabu rahisi tu, Chukulia mtu kaenda mjini dau limepanda na sasa ana uwezo wa ku-charge more than 5m kwa performance moja, Pigia kwa week zile siku tatu pekee za weekend (Ijumaa,Jmoss & Jpili) Akapiga Viwanja 6 Two in one times 3, Moja kwa moja jamaa kwa week akawa na uwezo wa kutengeneza 30m per 1 week.... Hiyo 30m Pigia toka Apambe moto kaipiga mara ngap... Utakuta hadi sasa ana week zaidi hata ya 50 so fanya 30m×45 weeks minimum alafu pigia hesabu na hivyo anavyopiga navyo picha japo nyumba itakuwa ya kupanga utagundua anafika kwenye 1.3B.... Sasa hivi vi-range used vya bongo vya 50m anapata vingapi
Tokaaapa
 
Utajiri mwingi huwa una nguvu mbadala nyuma yake..

Hakuna u-dj unaolipa to that extent hapa bongo au afrika..

Hivyo jamaa ana utajiri wa show off tu, ila in reality hana utajiri..
Sema bongo wewe usiseme Africa, unamjua Dj Black Coffee wa South Africa? Hebu google tu uone kama hata hao kina Davido wanamfikia kwa ukwasi...na ni kazi za uDj tu..mwaka mzima yuko full booked ulaya na anagonga only Afro-house music..na ndio playlist zangu always
 
Back
Top Bottom