Recent content by digital2014

  1. D

    Iwe mwiko kuwa na sheria na ahadi za kidini Tanzania

    Wakristo kila mwaka wanapewa zaidi ya 12billion kwa kupitia mou ya kuendesha makanisa yanayosimamia huduma za jamii je hili sio udini?
  2. D

    Iwe mwiko kuwa na sheria na ahadi za kidini Tanzania

    Tatizo la wakristo hawasomi maandiko yao ukiangalia hukumu nyingi ambazo waislamu wanazitetea ni za kijamii sio kinyonyaji lakini kutokana na umagharibi uliopo vichwani mwao wanakuwa hawatafakari kabisa
  3. D

    Iwe mwiko kuwa na sheria na ahadi za kidini Tanzania

    Ina maana waisilamu wa nchi hii hawajui hizi sheria zilizopo "common law" zimetokana na mfumo wa kikristo? Mbina hawalalamiki kuwa kodi zao zinatumiwa na mahakama zinazotumia sheria za kikristo
  4. D

    Tanzia: Ustadh Ilunga afariki dunia

    Kwa jinsi nionavyo sisi watanzania siku ikilipuka vita ya dini basi itakuwa historia duniani maana tunachukiana kupita maelezo na hapo ndio wazungu wamefanikiwa.enyi waja wa mungu rudini kwake mtubie kwani ufalme wa mbinguni hautopatikana kwa wale wanaokandamiza wenzao hapa duniani
  5. D

    Rais wa Gambia atangaza nchi yake kuwa dola ya Kiislamu!

    Ndugu yangu kama wewe ni mkristo basi pia huo ukristo hufai kuufuata maana ukristo halisi upo Jerusalem na sio vatican na kwengineko na pia ni dini ambayo wazungu wameibuni ili kuja kutawala na pia kila mwaka wanabadili vipengele ili viendane na wakati Tafakari ndugu yangu na inaelekea wewe ni...
  6. D

    Ni zamu ya wazanzibar kupewa kiti cha uspika bunge la katiba.

    Unajua kinachofanya wazanzibar watake serikali tatu ni pamoja na kebehi wanazopata, kwa haraka tu nilikuwa nataka nikujuze kuhusu mwalimu wa madrasa kuwa ni watu wenye elimu ya jamii kuliko unavyofikiri maana mafundisho ya dini yanawapa uweledi wa hali juu na pia ndio maana wazungu wamejaribu...
  7. D

    Australia Prime Minister tells the Muslims either accept us or leave for another country

    Uslamu umeanza wakati ukristo ushaatapakaa na kupokelewa na mataifa ya ulaya yaani roma na kwengineko lkn haukubakia pale nazareti alipozaliwa yesu na wayahudi waliuondoa ukristo na kuwapa waroma maana walijua atakuja mtume mwingine na baada ya kuona hajatoka miongoni mwao wakamkana ambae ni...
  8. D

    Wazanzibar muungano tutaununua...

    Unajua kilichopo sio wananchi kutengana ila ni mfumo wa kiutawala ambao utatupa mwangaza kuwa ukiwa eneo fulani la nchi yetu sheria zao ni tofauti kidogo na zetu mfano dar kuna sheria ya parking lkn mikoa mingine hakuna ila ninachoamini baada ya mabadiliko muungano utaimarika zaidi kuliko maana...
  9. D

    Zanzibar nje ya muungano,watalazimika kupitisha sheria ya kudhibiti kuzaana

    Kwa sheria ya dini inasema kaburi moja wanazikwa watu arobaini na pia hairuhusiwi kujengea kaburi na pia kwa ushauri zaidi wasio waislamu wangejaribu kujifunza baadhi ya taratibu za uisilamu jinsi unavyoendana na jamii kuliko kusoma au kuchukua fikra za magharibi kuwa uisilamu ni ugaidi kama...
  10. D

    Kardinali Polycarp Pengo ahofu Serikali Tatu zitavunja muungano!

    Mimi nadhani tatizo ni jina au mfumo wa maamuzi ya kiserikali kwa kifupi hata kama kutakuwa na serikali tano yaani Tanganyika kaskazini, kusini, kanda ya ziwa na kati pamoja na zanzibar bado sisi tutakuwa ni jamii moja ya watanzania wanaopendana na kushirikiana kwa kila jambo ila tatizo...
  11. D

    Chadema kususia kuangalia TBC ni sawa na kususia kuona mwanga wa jua...

    Watanzania lazima tuwe na maono mapana tusiwe na watu wa kuchaguliwa mambo haswa na wanasiasa iwe wa ccm au chadema na wala hatuhitaji chama ndio kituletee maendeleo ni wakati wa sisi kubadilika kimtazamo. Siasa imetufikisha hapa tulipo hatuna cha kujivunia kila mtu akipewa madaraka anaiba na...
  12. D

    Maiti ya Mjomba wa kiongozi wa North korea Kim Jong Un wapewa mbwa.

    Inaelekea uislamu unakukera sana ndugu yangu. Nataka nukupe elimu ndogo tu ambayo nadhani utailewa, tizama siasa za hapa kwetu kati ya CCM na vyama vingine jinsi kila siku tunavyoskia na tulivyojengewa kuwa chadema ni chama cha wafanya fujo, wanywa viroba na mengineyo na pia Mfano huo unaendana...
  13. D

    Upotoshaji wa tangazo la 'Policy Forum' kuhusu kodi...

    Sio upotoshaji ila ni haki ya mwananchi kujua haki yake maana ukusanyaji kodi umeboreshwa kwa teknolojia ya hali ya juu (efd machine) lakini udhibiti wa matumizi bado upo analogia badala ya digitali na isitoshe huoni kila siku bungeni watu wanahoji tamisemi kwa ubadhirifu na huoni viongozi wa...
  14. D

    Wachina wakamatwa na Shehena ya Meno ya Tembo Bandarini Dar

    Kama ingekuwa imepangwa na serikali yasingekamatwa ila naamini serikali ipo makini na wale wapiga dili ndio wanaochafua serikali
Back
Top Bottom