Recent content by digalangosha

  1. digalangosha

    JamiiForums Tanzania Stesheni kuu ya SGR Dodoma yabadilishwa jina na sasa itafahamika kama, Stesheni kuu Samia Suluhu

    Kwanini na jina la shirika lisibadilishwe kabisa
  2. digalangosha

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Job Ndugai abadili msimamo, sasa autaka tena ubunge wa Kongwa

    Sasa eng. Hersi itakuaje ....?
  3. digalangosha

    JamiiForums Tanzania Ni dharau kubwa Kiongozi wa Taifa letu kutoa risala huko Brazil wakati wanaotakiwa kusikiliza wanaendelea na shughuli za kupakua chakula

    La msingi ni huo mfano wa muda wa msosi harusini huwa MC anamleta mpiga tumba kuburudisha au mpiga tumba, then watu wakimaliza kula anatolewa ziendelee ratiba za zawadi.
  4. digalangosha

    JamiiForums Tanzania Kwanini Watoto wa Kike wa Marehemu Mafuru hata hawalii Msibani na hawana Wasiwasi tofauti na Misiba yetu Sisi Uswahilini ambapo hulia kwa Kukufuru?

    Ukipata jibu ndio utapata ili kwanini msiba wa baba mzazi alikua anacheka muda mwingi lakini kwa jiwe alilia mpaka macho yakavimba
  5. digalangosha

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kigaila: Rais Samia hajaanzisha mradi wowote tangu awe Rais isipokuwa mradi wa mabango ya Mama anaupiga Mwingi!

    Ndio ukweli huo...ukibishana basi taja miradi mitatu aliyoanzisha huyu mother wenu
  6. digalangosha

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mke wangu anadai simridhishi kitandani

    Atakua kashakutana na kijeba kingine kimemsugua haswa sasa akifananisha na wewe anaona unapelea....mzee weka maji safari ishaiva hiyo.
  7. digalangosha

    JamiiForums Tanzania Napendekeza Rais wetu aitwe Mungu

    Huyo tayari walishampendekeza
  8. digalangosha

    JamiiForums Tanzania Tahadhari kwa Iran: Usijibu Mtego wa Israel

    Israel daily mikwala, alirushiwa missile zakutosha lakini mbona hajaingia kwenye total war pamoja na boss wake....? Iran ya enzi za gulf war msijehisi bado ipo vile vile. Kama waumini wa mwamposa wanamaanisha vita basi waingie mazima waache mikwala mara mitego
  9. digalangosha

    JamiiForums Tanzania UTABIRI: Tutarajie Kumpata Sheikh Mkuu wa Tanzania Mwanamke Kabla ya 2030

    Ewaa mama atakua kaifungua nchi sana....so ikitokea hivo inamaana sheikh atakua akiingia period haendeshi ibada 😂😂😂😂😂😂
  10. digalangosha

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Responded Masaki: Anayedaiwa kuwa Afisa Usalama (TISS) afanya vurugu, amjeruhi mwananchi

    Mahakama lazima itaifuta kesi as usual......huyu ni wakumalizana nae kihuni kama alivyoanzisha yeye, muda wakulialia umeisha
  11. digalangosha

    JamiiForums Tanzania Hotuba ya Waziri wa Ulinzi wa Israel Yoav Gallant. Dalili za kwanza za kukubali kushindwa vita

    Ngoja waumini wa mwamposa waje hapa
  12. digalangosha

    JamiiForums Tanzania Ni kitu gani hata uwe una hela Kiasi gani huwezi kununua?

    Kununua IST aise hapa
  13. digalangosha

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa taratibu za kusafirisha asali Ulaya

    Kazame DM ya balozi Togolani anakusaidia kukushika mkono, the guy is very smart na anatoa sana connection
  14. digalangosha

    JamiiForums Tanzania Ushauri biashara nchini Comoro

    Habarini wawekezaji Naombeni ushauri kwa mlionitangulia. Nina kimtaji changu kidogo hapa 15,000,000, nilikua nataka nifanye biashara. Sasa katika kukaa na watu kuna jamaa yangu akaniambia biashara kama asali, mbuzi, mchele n.k vinalipa sana ukipeleka Comoro na sometimes hata malipo yake...
Back
Top Bottom