Habari wana jukwaa.
Wengi kwa sasa tumekutana na either post or habari kuhusiana na ajari. Kwenye mitandao ya kijamii (insta,facebook n.k just to mention few) tunapoteza wapendwa na nduzu zetu kila kukicha na nyingi zinatokea usiku magaro yanagongana ama kupinduka na katoka mazingota kama...
Kama hujanunua
Udhauri wa bure achana nayo
Unless the deal is good ukaweza kupotezea comments
Ntaongelea kwenye engine pekee
Voxy zina 1AZ
Hii engine ina challenge za kutosha
Fuatilia reviews online
Then fanya maamuzi on it.
hapa mtatoa comment zote
Ila jambo kubwa.chanzo cha hiyo shida ni mabegi wanabeba kwenda shule
Mtoto wa miaka 10 ni darasa la 4 ama la 5
Unakuta kwnye bagi ana conter za masomo kama 7.counter za masomo ya ziada homework 5
Ukiangalia anabeba hiko begi muda mrefu ndo shida zinaanzia hapo
Bado kuepeka kutu na changamoto zake
Tumia coolant
Kuna faida nyingi kwa kutumia coolant badala ya maji
Hasa gari zinazokaa chini muda bila kutumika.
Coolant sio gharama sana
Kulingana na gharama za kufix shida za kutu kwenye njia ya rejeta na vitu kama hivyo
Instagram Kuna account kibao za kuuza na kununua magari kwa sasa.
Ni best kuliko Jiji na hizo nyingine z mtaan
Maana insta page Wana update daily kila siku na option za exchange zipo mno
Elimu ya car maintenance. Ni muhim sana
Kwa sasa.
Forums Kama jamiiforums imeendelea kuwa mkombozi sana
And so elimu ya oil pia ni muhimu mno
Inakuta gari ina sauti sio poa kwenye engine
Lakin ukifuatilia unakuta ni oil iliyowekwa sio poa
Tujifunze kusoma manual za magari
Ama kuitumia google...
Zote chines
Na zote nzuri tu.kikubwa angalia muda wa kutengenezwa angalau ziwe za mwaka Jana ,usinunue zilizokaa dukan muda mrefu ubora upungua sana kutokana na utunzwaji mbaya.
Rav 4 second generation ina engine 3
1az /D4 petrol
1zz petrol
1Kd. Diesel
Zote ziko poa isipokuwa D4 ndo ina challenge kidogo hasa overheating,na block issues
Zingine ziko poa
Ingawa changamoto yake haizuii kuitumia kabisa
Hello wana jamvi (Jamiiforums)
Nime detect hii kitu kwa mara ya kwanza mwaka 2016
Tangia hapo inashuka na kupanda
Nimetumia dawa za hospital
Bado hazileti nafuu
Angalau dawa za mitishamba(kisuna zile)
Naomba ushauri ama altenative kwa wanaojua hii kitu
Hapa kuna mambo mengi ya kuangalia
Kabla ya kuchagua
Zote ni second generation
Premio 2002/2005 vs rav 4. 2000/2005
1.Spare
Zote spare zake zinadum sana
Na zinapatikana kila mahali
2.engine
Zinaingiliana kwenye baadhi ya engine code
Tofauti kidogo
Premio zina machaguo 3
1nz
1zz(chukua hii)
1az...
Sijui kama.nimechelewa
But
Chev ni model moja na swift
Mazuri
Kana nguvu
Cooling system nzuri
Fuel consumptio. Katakupa 13km/l highway
Muonekano wa ndani mzuri
Weakness
1.miguu ya mbele
Hapa Gm walikosea kapita
Kila ukibadil engine oil cv joing pia zimeisha
(Kupatikana kipengele kingine)...
Nawatetea Hawa jamaa
issue ya speed, inategemea na device/locatiom yako
Town centre ana remote areas
Speed haiko sawa
Mimi natimia 4g ua airtel download speed
Napata 5mbp/4mbs ikishuka 800kbps
Device natumia ni latest
Nissan Nivara
Sijui tumwambia ukweli ama tumuache baada ya mwaka awe mshauri kwa wengine
Cut story shot
Ukiweza chukua Hilux double yeyote kaunzia
2005 na kuendelea
Zina engine bora sana na zinavumilia
Spare zipo kila mahali bei nzuri
Mafundi wanazijua vizuri
Kinyume chake unapata kwa hiyo...
Issue ya Ajira kwa sasa
Ukitafuta ration/uwiano ya wanaostahili kiakiriwa vs nafasi zilizopo number ni infinity
(0. Something)
Kimbuka interviewer ni binadam pia
Hapo tegemea kupitiwa
Kumpa.mtu shauli ya sabau flan
May be siku hiyo alivutiwa na utanashati wa muombaji na sabubu nyingine nyingi...
Better nimepata sehem ya kutoa story yangu
True story
Itakuwa fupi kidogo kutowachosha wasomaji
Mwaka 2010 nilikutana na binti mmoja kwenye kongamano la dini chuoni (University) mm ni Rc but naendaga matamasha ya dini nyingine
It happen sometimes.
Bana tumekaa sehem jilan kila nikimuangalia roho...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.