Recent content by DieuMerci

  1. D

    JamiiForums Tanzania Tuwe makini na juice hizi jamani{ Juice za Azam}

    Kiongozi tarehe 19 mwez wa 10 2016 hujaona mapungufu?leo tarehe ngap?
  2. D

    JamiiForums Tanzania Tanesco tuokoeni tunaumia sana

    SalaSala mkuu mbele ya mkuu wa magereza
  3. D

    JamiiForums Tanzania Tanesco tuokoeni tunaumia sana

    Mkuu hiï mada inaniîhusu moja kwa moja.Kwangu alikuja surveyor kutoka Tanesco akapima tukapata ni nguzo tano.cha ajabu hesabu ikaja ni 3,332,500.Yaan nilishndwa kuelewa hizo hesabu zao wanapigaje kwa sababu ukiuliza bei ya nguzo moja watakwambia ni 260000 sasa ni kigezo gani kilitumika mpaka...
  4. D

    JamiiForums Tanzania Tetesi za chini chini zilizonifikia muda si punde zinasema......

    Hao T.F.F wanazijua kweli kanuni?wanawezaje kumfungia mtu ambae si mwanachama wao bali mwajiriwa wa Yanga?pia kila afanyacho Muro anaiwakilisha Yanga sasa kwa nin wamushtak mtu badala ya kushtak taasisi?
  5. D

    JamiiForums Tanzania TFF hasira kwa Yanga nini tatizo

    Ukiona hivyo ndo ujue mechi ya yanga ilikuwa mtaji wa watu.kitendo cha watu kuingia bure kulitibua budget zao za kimaisha.walijua watapga pesa ndefu.
  6. D

    JamiiForums Tanzania Uwii, Sepp Blutter kamwaga mboga yote

    Hapo sijaelewa kitu jambo moja.je wanawezaje kupanga dice za team zaidi ya mbili ili zikutane kama ishu ni ubaridi na ujoto la dices.mfano unataka team zako 2 zikutane na vibonde wengne wawili lakin specifically team fulan na fulan.hapo atueleze wanafanya je?make dices za tema zote zinakuwa...
  7. D

    JamiiForums Tanzania Tetesi: TFF wajitoa uchaguzi Yanga, kuzungusha na waandishi siku ya jumanne!!!

    Nh habari njema kwa sisi wanayanga na kwa maendeleo ya klabu yetu pendwa
Back
Top Bottom