Tetesi: TFF wajitoa uchaguzi Yanga, kuzungusha na waandishi siku ya jumanne!!!

Wonderful

JF-Expert Member
Apr 8, 2015
7,347
5,984
Kumekucha sasa.
Ni kwamba kuna tetesi kwamba TFF wameamua kuwaachia Yanga waendelee na mchakato wao wa uchaguzi na wataongea na waandishi wa habari siku ya juma nne.
 
Walitaka kuleta Siasa kwny Mpira. Kwa kuwa Baba Udom hamtaki Manji basi nao wakatumia furs a hiyo kwa Maslahi yao
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom