Recent content by Didier kimbangu

  1. D

    JamiiForums Tanzania Polepole: Wabunge wa CCM wenye nongwa kukatwa 2020

    Nape hakatwi
  2. D

    JamiiForums Tanzania Siku za Rais Kagame zinahesabika. Je, atakimbilia Tanzania?

    Alafu we jamaa ni tribalism kinoma yaani. Kila kitu tutsi kwa Wahutu sio binadamu. Ni kama tz tuseme kila kitu wasukuma simply bcoz rais alioko madarakani ni msukuma kama ningekuwa rwanda ningehama nchi Sent using Jamii Forums mobile app
  3. D

    JamiiForums Tanzania Siku za Rais Kagame zinahesabika. Je, atakimbilia Tanzania?

    So wewe unataka Kahama awe madarakani hadi afe. Sawa kafanya mazuri na mabaya yapo pia lkn apumzike na yeye awe mtoa ushauri na heshima yake iendelee kuwepo. So sankara akifa hyo kesho au baadae tujue ni Kagame in short. Sent using Jamii Forums mobile app
  4. D

    JamiiForums Tanzania Polisi yavamia Mkutano wa ndani wa ACT-Wazalendo! Wazuia Mkutano uliokuwa ukiendelea katika Ofisi za Makao makuu ya chama hicho

    Act umeandamwa na jinamizi Sent using Jamii Forums mobile app
  5. D

    JamiiForums Tanzania Serikali kufanya kazi zake yenyewe kwa mfumo wa force account

    Uchumi lazima uwe shirikishi. Sent using Jamii Forums mobile app
  6. D

    JamiiForums Tanzania Dkt. Magufuli, Kenyatta na Museveni tunawaombeni mtuache kidogo ili Rwanda tuinyooshe Burundi kwani tumewavumilia vya Kutosha

    Nyie watusi ndo wakolofi jumuia zote za KIMATAIFA zinajua watusi na rwanda kiujumla ndo mnaleta disturbance east Africa na hasa Burundi na Congo. Yani nyie ndo mlitakiwa muangamizwe ili tupate amani. Na ole wenu Muiguse Burundi safari hii. Wezi nyie kazi kuiba madini Congo ndo mnaweza na mseveni...
  7. D

    JamiiForums Tanzania Serikali kufanya kazi zake yenyewe kwa mfumo wa force account

    Serikali iseme tu haitaki mfumo wa private companies na tufute CRB na TRA wasitusumbue income tax. Sent using Jamii Forums mobile app
  8. D

    JamiiForums Tanzania Serikali kufanya kazi zake yenyewe kwa mfumo wa force account

    Acha waendelee ni POA tu Sent using Jamii Forums mobile app
  9. D

    JamiiForums Tanzania Serikali kufanya kazi zake yenyewe kwa mfumo wa force account

    Hi serikali inashangaza baada ya kuanza kutumia mfumo wa force account mfumo ambao ulishindikana miaka hyo ya Julius wakati serikali ilipokuwa ikimiliki kampuni zake yenyewe na wataalamu na ilikuwa na zones za construction ambazo kulikuwa na equipment pool kubwa lakini at last ilishindikana...
  10. D

    JamiiForums Tanzania Unyanyasaji wa kikabila idara ya Uhamiaji

    Lazim Tuwaulize nyie ndo mnatusumbua kila simu wezi hawaishi na majambazi
  11. D

    JamiiForums Tanzania Makonda: Atakayenunua makontena yangu atalaaniwa yeye na kizazi chake! Atoa onyo kwa atakayethubutu kununua

    Nahisi makonda bashite albert Sent using Jamii Forums mobile app
  12. D

    JamiiForums Tanzania Lowassa: Waliniibia kura zangu milion 6 nikanyamaza lakini tutaonana tena mbele ya safari 2020

    Si anachama chake au hujui cdm ni yake kwa 7b? Sent using Jamii Forums mobile app
  13. D

    JamiiForums Tanzania Kiwanda changu nahitaji mfunguzi

    Jiwe!!!!
  14. D

    JamiiForums Tanzania Zitto amnanga Polepole: Kiongozi huwaza kizazi kijacho na mwanasiasa huwaza Uchaguzi ujao

    Huyu polepole ni taahira c alipewa ukuu wa wilaya tumulize alifanya nini??
  15. D

    JamiiForums Tanzania Prof. Muhongo anahitajika zaidi kwa sasa

    Muhongo ni jembe arudi
Back
Top Bottom