Prof. Muhongo anahitajika zaidi kwa sasa

eddy

JF-Expert Member
Dec 26, 2007
15,080
10,037
Kuna kelele nyingi za kumkumbuka Prof. Muhongo kama zilivyokuwa za kumtaka jpm kwenye barabara.

Hebu tuoge kwa JK alivyomrudisha jpm kwenye barabara, kwani mambo tuliyodhani hakufanyakazi sawasawa yako vilevile hadi leo na yale aliyokuwa anayatekeleza yamesimama hivyo hivyo.

Wananchi tunataka maendeleo hao akina Lissu wameshajua na tumeshawajua hawataleta tena mambo yao ya kijinga.
 
Watu gani wanaopiga kelele ambao umewasikia peke yako tu? Wataje na sisi ambao hatujawasikia tukawasikilize jinsi wanavyopiga kelele kuhusu huyo Muhongo arudishiwe uwaziri. Mada yako inahusu kelele zako kutaka Muhongo arudishwe uwaziri Lissu anaingiaje au umesikia pia kelele kuhusu Lissu?
 
Kuna kelele nyingi za kumkumbuka prof muhongo kama zilivyokuwa za kumtaka jpm kwenye barabara. Hebu tuoge kwa JK alivyomrudisha jpm kwenye barabara, kwani mambo tuliyodhani hakufanyakazi sawasawa yako vilevile hadi leo na yale aliyokuwa anayatekeleza yamesimama hivyo hivyo. Wananchi tunataka maendeleo hao akina Lissu wameshajua na tumeshawajua hawataleta tena mambo yao ya kijinga.
Rubbish.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom