Recent content by Didas The Thinker

  1. D

    JamiiForums Tanzania Uganda yaishutumu Hotuba ya Rais Jakaya Kikwete juu ya EAC

    Kauli ya huyu jamaa niyakipumbavu sana kiasi kwamba inazidisha hasira sana..nilimsikiliza Dr Jakaya na binafsi nilimwelewa sana nashangaa sana kama mimi mtu wa chini kabisa kwenye haya mambo nilielewa na sikuwa na tatizo sasa kwanini hawa waganda kwao liwe tatizo??wanataka nini hasa...
  2. D

    JamiiForums Tanzania Sales agents 2, mwenye diploma/certificate ya accounts, receiptionist, na technician

    Kakaamiye hili swala la uzoefu inakuwaje?na mhitimu wa chuo atalipata wapi?au inakuwaje maana sielewi mimi...
  3. D

    JamiiForums Tanzania Sales agents 2, mwenye diploma/certificate ya accounts, receiptionist, na technician

    Ase yaani huu uzoefu wa kazi mbona unawatesa wengi?mtu katika chuo sasa uzoefu anautoa wapi?nisaidieni kwa hilo embu...
  4. D

    JamiiForums Tanzania TANZIA: Rock City Wing

    Ram pole sana...
  5. D

    JamiiForums Tanzania Tanzia: Balozi Isaac Abraham Sepetu (baba yake Wema Sepetu) afariki dunia

    R.I.P SEPETU japo umetuachia li mwanao balaa tupu,ni bora ujifiche mbali na uozo anaoufanya mwanao..
Back
Top Bottom