Recent content by DICXON

  1. D

    Fountain Gate Academy ni mfano wa shule za kuchukuliwa hatua

    Kweli, mimi tayari nimeshamuhamishia mwanangu shule nyingine tayari, ila nawaonea huruma watoto waliobaki na hata wazazi ambao wana malalamiko pia, lakini ukishalipa ada, ada hairudishwi, wengi hawana uwezo wa kulipa ada mara mbili ukiwa hujajiandaa kwa hilo
  2. D

    Fountain Gate Academy ni mfano wa shule za kuchukuliwa hatua

    Una sound kama wewe ni mwalimu, mwalimu mkuu au mkurugenzi wa hii shule. Ila fact ni kwamba watoto wanafaulu private kuliko shule za Government sio kwa sababu mnawafundisha watoto kwa masaa 11 kwa siku, moja ya sababu ya msingi ni kwamba nyie mtoto kuanza darasa la kwanza kuna interview...
  3. D

    Fountain Gate Academy ni mfano wa shule za kuchukuliwa hatua

    Hii Shule kwenye matawi yake yote ya Dar na Dodoma wanalazimisha watoto wa darasa la 4 na 7 kuanza masomo saa 12 asubuhi na wanamaliza kusoma saa 11 na nusu jioni. Yaani watoto wadogo wa miaka 7 au 8 wanasoma kwa masaa 11 na nusu kwa siku. Sijui kama kuna maana nyingine zaidi ya kuwanyanyasa...
  4. D

    Sheria zote zimefutwa kwenye website ya bunge

    Una maana gani? kwani nimesema uongo kwamba sheria zimefutwa? au wewe unajua sababu kwanini zimefutwa unitaarifu, na kama unajua website nyingine mbadala ninayoweza kuzikuta sheria zote za nchi. Wewe niambie tu pole pole.
  5. D

    Sheria zote zimefutwa kwenye website ya bunge

    Hebu ingia mwenyewe kwenye hilo link alafu nitafutie kama kuna sheria yeyote ya Mwaka 2014. Hiyo datebade inamiss sheria kibaooo, haiko uptudate. Website pekee iliyokua reliable miaka yote kama unatafuta sheria. Ni website ya Bunge,
  6. D

    Sheria zote zimefutwa kwenye website ya bunge

    zilikuwepo mkuu, sio kwamba hazimo
  7. D

    Sheria zote zimefutwa kwenye website ya bunge

    Nimeingia leo kwenye website ya Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambayo ni www.parliament.go.tz nilikua naitafuta sheria fulani ya mwaka 2014, nimepata na mshituko baada ya kukuta sheria zote kuanzia Uhuru mpaka sasa zimefutwa, zimebaki za kuanzia mwaka 2016 na mwaka 2017. Mara zote...
  8. D

    Hotuba ya Dr. Slaa kwa Watanzania toka Hoteli ya Serena - Tarehe 1 Septemba, 2015

    Kufuatia mkutano uliofanyika leo. Nawashauri UKAWA, ili wasiyumbishwe na wasiyape umaarufu aliyoyasema Dr. Slaa, dawa ni kukaa kimya, na waendelee na Kampeni kama vile hawajasikia alichosema. Na wawataarifu Wagombea wa Ubunge woote wafanye hivyo hivyo. Wananchi tunataka Sera, tunataka Maendeleo...
  9. D

    Yohana Ft. Young Killer- Uhai wangu- Hii ndo Video kali, Wimbo Mkali wa RnB Tanzania kwa sasa

    utazame hapa, na video imefanywa na Director wa Kitanzania,
  10. D

    Kwa mara ya kwanza Rais kafanya safari yenye tija nchi za Scandnavin

    Ni kweli, lakini pia ni kwamba SCANDINAVIAN countries hawana utajiri wa kutuma hela bila mpango wowote, lakini nchi za Marekani na Ulaya, wanakupa tu hela hata kama mpango wako wa kuzitumia hela hauwashawishi, ili mradi wao pia wanapata kitu in return. Ndo maana Raisi wetu hakua anaenda saana...
  11. D

    Natafuta studio, high quality ya kurekodi nyimbo za injili

    Ni kwaya au solo artist, hiyo pia ita determine studio unayotaka
  12. D

    Nissan x-trail for sale, year 2000 Model, for tsh 17 million only

    Ipo kwenye hali nzuri, haina tatizo lolote. Any serious buyer pm me or call me through 0614109566.
  13. D

    Nissan x-trail for sale, year 2000, for tsh 17 million only

    Ipo kwenye hali nzuri, haina tatizo lolote.
  14. D

    Nauza set ya recording studio kwa milion 7 tu

    Vipo tabata, risiti, unaulizia nilizonunulia au utakazo nunulia?
Back
Top Bottom