Nauza set ya recording studio kwa milion 7 tu

DICXON

Member
Feb 10, 2011
24
8
Ni vifaa vya studio ya kurekodia muziki, ni full set, ukichukua tu, unaviweka na kuanza kurecord

vifaa vyake ni Studio Monitors-M Audio Bx5a, Mid Keyboard ya M Audio-Oxygen 61 keys, Digital Mixer ya Firewire Alesis 16, Microphone ya NT1-A, Pop sound Filter, na Trigger Finder ya M Audio. Nauza full set, siuzi kimoja kimoja. Vifaa vyote ni vipya kasoro mixer, imetumika kidogo.
Interested buyer call me through +255 614 4109566.
 
Deejay nasmile

JF-Expert Member
Nov 8, 2011
5,681
5,071
Ni vifaa vya studio ya kurekodia muziki, ni full set, ukichukua tu, unaviweka na kuanza kurecord

vifaa vyake ni Studio Monitors-M Audio Bx5a, Mid Keyboard ya M Audio-Oxygen 61 keys, Digital Mixer ya Firewire Alesis 16, Microphone ya NT1-A, Pop sound Filter, na Trigger Finder ya M Audio. Nauza full set, siuzi kimoja kimoja. Vifaa vyote ni vipya kasoro mixer, imetumika kidogo.
Interested buyer call me through +255 614 4109566.

nahitaji unisaidie kupata kimoja kimoja hata watu wengine....inawezekana
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Top Bottom