Biashara ya maziwa fresh haina tofauti sana na biashara ya utumbo kuharibika ni kugusa tu
Fanya biashara ya mtindi inalipa ila uwe na freezer ya uhakika.
Cha kwanza ujue matumizi ya hilo jenereta kwa unaowakodisha ukilinganisha na uwezo wa jenereta lako kuzalisha umeme.
Mengine utakutana nayo ukiwa site!
Sent from my OPPO R11s using JamiiForums mobile app
Wakuu naamini humu kuna watu wengi sana wanaomiliki ofisi za kutengeneza simu mbali na Kariakoo yaani huku mitaani.
Sasa hitaji langu mimi ni kufungua ofisi ya ufundi wa SIMU na LED TELEVISION
Naombeni muongozo na namna nzuri ya kuifanya kazi hii
Naomba kuwasilisha!!
Panda Ally's Star au Happy Nation (Ally's Star ana chuma mpyaaaa za Dar - mwanza hasa safari za jioni)
Sent from my OPPO R11s using JamiiForums mobile app
Kununua pikipiki ya wizi maana yake unakuwa umenunua pikipiki ambayo haina nyaraka nadhan nimeeleweka vyema
Ni upumbavu kiwango cha lami kununua pikipiki isiyo na nyaraka
Wakuu habari! bila ya kupoteza wakati niende kwenye maada husika wazo langu ni kufungua ofisi ya kuuza na kununua pikipiki amabazo zimeishatumika mtaani(used)
Ili ofisi iwe imekamilika kwa upande vibali ni taratibu zipi napaswa kuzifuata ili kupata vibali na pia ni vibali gani napaswa kuwa...
Hapa umeandika ushuzi tu na inavyoonyesha hata njiwa tu hujawahi kufuga umekurupuka mno na pia kwa mawazo yako mepesi inaonesha hata umri wako bado ni mdogo sana.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.