Kama unataka kuoa kabila kaoe jiwe! unaonekana kama binadamu toleo la analojia!!!! Mapenzi hayana ukabila wewe......utajisikiaje nae akitupia thread hapa juu ya kabila lako?? Msomi sio mpaka aandike notice hata akili ya maisha ni usomi lakini sasa wewe unaonekana hiyo hauna. hilo sio swali la...
Jamani watanzania na chuki binafsi tumezidi. mdada anaipenda kazi yake na anaifanya ipasavyo na hicho ndo kinatakiwa. lazima mtu uwe mbunifu katika kazi ili ufike mbali. basi wasemeni na akina salim kikeke, kasim kayila wa bbc bila kumsahau lee yung xinhua wa CCTV. BIG up kwa Ivona K!!
Mbona na nyie mnaonekana wasomi feki. jf sio sehemu ya kujisifia wala kutambiana. kama wasomi kweli mnapaswa kuelimisha jamii kama lilivo jina la hii link. kama mtaendelea hivi haipo haja ya kuitwa wasomi bali waimba taarabu tu nyie..... watu wanasoma havard ila humu wapo kimya wanatoa maujanja...
Ujinga sio mpaka mtu asalimie kivuli chake.........hata kuwa na elimu bila kuitendea haki ni ujinga mkubwa tena uliokithiri. Nadhani huyu waziri tulipaswa had kumnyang'anya hati za uraia wa tanzania nae awe mhamiaji haramu tu kwa sababu hajui ni nini watanzania tunahitaji na hata hayupo ofisini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.