Lakini pia ni vizuri kuangalia na asili zao wanakotokea je! ni wazawa wa Moro au maana kama hao akina Francis cheka hao ni wamakonde
Sent from my TECNO B1f using JamiiForums mobile app
Kwa mwalimu aliyepo Mkoani Morogoro, Idara ya sekondari aje SIKONGE mkoa wa TABORA mimi nije MOROGORO wilaya zifuatazo:
1: Morogoro manispaa
2: Mvomero
3: Gairo
Sent from my TECNO B1f using JamiiForums mobile app
Natafuta mwalimu wa kubadilishana naye Mimi nipo TABORA wilaya ya SIKONGE MJINI, nataka kuja mkoa wa MOROGORO, wilaya zifuatazo:
1: Morogoro manispaa
2: Gairo
3: Mvomero
4: Kilombero
Idara ya sekondari
Mawasiliano
0655 545575
Sent from my TECNO B1f using JamiiForums mobile app
Kwa mwalimu wa kubadilishana aje SIKONGE mkoa wa TABORA mimi nije mkoa wa MOROGORO manispaa, Idara ya Secondary,
Kwa mawasiliano 0655 545575
Sent from my TECNO B1f using JamiiForums mobile app
Mimi mwenyewe ni mchungaji na hiyo clip nimeiona kwakweli siyo nzuri ila tunaifanyia kazi huyu mtumishi hakutumia hekima kabisa katika mahubiri yake.
Maana mtumishi unapo hubiri neno la Mungu tunatarajia katika kinywa chako kutoke maneno ya kufariji, kuponya, kujenga, kupatanisha, matumaini, na...
Itawezekana, chamsingi awe na ile namba yake ya mtihani ambayo itaonesha ufaulu wake wa form two, maana ili ufanye mtihani wa kidato cha nne lazima uwe umefaulu kidato cha pili,
Kwahiyo kama sifa hizo anazo basi anaweza kufanya mtihani wa kidato cha nne.
Sent from my TECNO B1f using...
Aishi manula
Jafary kibaya
Jonas mkude
Abasi kapombe
Ramadhani kesy
Kihimbwa
Isimail Aidan
Na wengine wengi tu.
Sent from my TECNO B1f using JamiiForums mobile app
Mimi naunga mkono hoja yako, maana katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inasema kuwa hakuna mtu aliye juu ya sheria, lakini mambo yanavyokwenda hakuna haja ya kuuliza kuwa eti kuna mtu yupo juu ya sheria, maana kutomuongezea mtumishi mshahara hii tayari ni majibu tosha kuwa katiba ya nchi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.