Usiende mtoto isiwekigezo maana anaweza akapenda Mtoto wewe usiwe na nafasi wakati umepoteza muda KWA kuosha vyombo baadae unatimuliwa sikia wazazi wako. Kama shida ni ngono nenda katafute wapili lakini future huyo hajaamua kuwa nawe
Pole tulia ndoa ni Utawala binafsi kila MTU anaundesha anavyojua. Ila ushauri wangu. Wekeni vipaumbele vyenu vya familia pamoja cha muda mfupi wakati na mrefu changamoto Hizo zitambungua. Mimi na wife tunafurahia ndoa sana KWA sababu ya kuzungumza pamoja na kupanga pamoja. Hata baba yake...
Heri wawe na Intelejensia Kali maana iliyopo ipo kwa maslahi ya viongozi. Leo Askofu wa Anglikana Zanzibar akihubiri TBC amesema wazi Rais asicheke wakati watanzania wanatarajia makubwa kwake. Pia asiwe na uvumilivu kwa watu wasio tambua nafasi zao kwa kudharau wananchi KWA dhuluma zao. Tembo...
Nafikiri si kosa kabisa kuhojiwa Diamond, pia watanzania tumefanya mazoea kama ndiyo utaratibu, tuache ushabiki kuvaa nguo za jeshi ni kosa. Waliyopitia kwata lake wanaelewa umuhimu wake. Na ambaye haujakamatwa usiombe ukakutwa na wanajeshi wasio na weledi na jeshi utajuta, nasisitiza acha...
Leo asubuhi rafikizangu wa kijijini wameniambia kua Tanzania inaingia vita na Malawi2013 ndiyo maana serikali ina himiza haraka watu waingie kwenye Digital ili wale wenye uwezo mdogo wasijue mambo yanakwendaje. Hivyo wakeomba ni wathibitishie kama si kweli au kweli. Na mimi nahitaji mawazo yenu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.