Recent content by Diaryjr

  1. D

    JamiiForums Tanzania Tarehe 17 March 2021, Makamu wa Rais akitangaza kifo cha aliyekuwa rais Ndugu Hayati Magufuli ulikuwa wapi?

    Aisee hii siku nilipata marafiki wapya ambao mpaka leo nipo nao. Sijawahi kufurahia kifo ila hii siku nilicheza sana mziki na nilikunywa bia nyingi sana
  2. D

    JamiiForums Tanzania Info system for Pre-schools and Day care

    Hongereni sana kwa ubunifu huu.
  3. D

    JamiiForums Tanzania Mdunguaji wa Goma

    Haya sasa ni mateso
  4. D

    JamiiForums Tanzania Mdunguaji wa Goma

    Mbona kimya tena mkuu
  5. D

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kama wewe ni mwanaume mpole, usioe mwanamke wa Pwani

    Asante mkuu
  6. D

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kama wewe ni mwanaume mpole, usioe mwanamke wa Pwani

    Kabisa mkuu
  7. D

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kama wewe ni mwanaume mpole, usioe mwanamke wa Pwani

    Aisee niliezaa nae alikuwa ni shida. Akianza kuongea taratibu nilikuwa nanyanyuka naenda zangu Bar mpaka mida mibovu maana ilikua nikbaki ili anyamaze ni lazima nimzibue makofi tena kwa taadhari kubwa sana maana ilikuwa akichomoka hapo kama kuna chupa, sufuria au chochote lazima anirushie...
  8. D

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Consider her as a bitch until proven otherwise!

    Hakurekebishika mkuu Sent using Jamii Forums mobile app
  9. D

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Consider her as a bitch until proven otherwise!

    Hahahaha. Ila Mungu anawaona mjue. Niliwahi kutoa hela tena ya mkopo ili akatibiwe. Kesho yake kwa mara ya kwanza nikapigiwa whatsapp video call wakati najua simu yake camera ya mbele mbovu. Nikachezwa na machale nikamuambia anitumie screenshot na yeye bila kujua akanitumia. Nikachunguza...
  10. D

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Msaada wa mawazo kwenye haya mahusiano yangu

    Sawa mkuu. Nimeshafanya hivyo Sent using Jamii Forums mobile app
  11. D

    JamiiForums Tanzania UPDATES: Madhara ya mvua iliyonyesha jijini Dar - Desemba 17, 2019

    Hapa Makere Kigoma karibu na Nyarugusu hali ni shwari kabisa. Tupo sokoni tunahemea tukisubiri muda wa kugonga mbuzi katoliki wenye rangi nyeusi Sent using Jamii Forums mobile app
  12. D

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Msaada wa mawazo kwenye haya mahusiano yangu

    Balvejmumt, Kabisa mkuu. Nashukuru nimeweza kutimiza siku tatu bila kuwa na mawasiliano nae na natumaini Mungu ataniletea mwenza sahihi maishani mwangu Sent using Jamii Forums mobile app
  13. D

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Msaada wa mawazo kwenye haya mahusiano yangu

    Yaah. Nimefanya hivyo mkuu. Niliona napoteza muda wangu bure Sent using Jamii Forums mobile app
  14. D

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Msaada wa mawazo kwenye haya mahusiano yangu

    We ni shahidi mzuri kwenye hili jambo Sent using Jamii Forums mobile app
  15. D

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Msaada wa mawazo kwenye haya mahusiano yangu

    Nimeamua kuachana nae mkuu. Maana nilimpa hadi nafasi aweze kufuta kama kuna kitu kibaya lakini bado hakufanya hivyo ikimaanisha anavyonificha vina umuhimu sana kushinda mimi Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom