Recent content by diannajohn

  1. D

    JamiiForums Tanzania Fursa za biashara kwa kila mkoa hapa nchini

    Naomba kujua ni biashara gan inatoka sana kwa Mwanza ,naitaji kuanza biashara
  2. D

    JamiiForums Tanzania Naomba kuuliza

    Ukitaka kuangalia series za kihindi zenye subtitle ya kiingereza unatumia program gan
  3. D

    JamiiForums Tanzania Nahitaji samaki wabichi, Nipo Mwanza

    Habari wanajamii forum, naitaj kupata msaada kwa mtu alie mwanza anielekeze mahali napoweza kupata samaki wabichi kwa bei nzur nataka nianze biashara hiyo nanunua na kuwakaanga arafu nauza sina mtaj mkubwa nataka nianze na kidogo tu
  4. D

    JamiiForums Tanzania Fahamu kuhusu kuanzisha biashara ya Mobile Money (M-Pesa, Tigopesa)

    Kama kichwa cha habar kilivyo jieleza naitaji kufungua m-pesa Ila sijajua faida yake ni IPI,na mtaji wake ni sh ngapi.yan kikibwa zaid naitaji kujua jinsi biashara ya m-pesa inavyokuaa,msaada please
  5. D

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi

    Niko tayar pia
  6. D

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi

    Kama kichwa cha habari kilivyojieleza natafuta kazi ya records management, office assistant au hata secretary kat ya hizo ninauwezo wa kuzifanya izo kazi.Niko mwanza
  7. D

    JamiiForums Tanzania Msaada: Nahitaji mtu wa kunifundisha kushona mazulia

    Kama kichwa kilivyojieleza, Mimi ninaishi Mwanza nilikua nahitaji kwa mtu mwenye ujuzi wa kunifundisha jinsi ya kushona mazulia, hereni na cheni za shanga anifundishe niko tayari kumlipa ili niweze kufahamu, itaku vizuri kama mtu huyo atakua Mwanza ili iwe rahisi kujifunza vizuri. Ahsanteni
  8. D

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Naomba mwongozo jinsi ya kupata mke mwema hapa JF

    Njoo inbox nikupe mwongozo
  9. D

    JamiiForums Tanzania Tangazo la kuitwa kazini | Kada ya Afya

    Hayo ni tofaut na yaliotoka mwanzo kama unayo naomba
  10. D

    JamiiForums Tanzania Biashara ya samaki

    Sato nanunua wabichi nawakaanga afu nasafirisha kwenda igunga
  11. D

    JamiiForums Tanzania Mawazo Madogo madogo ya mitaji midogo midogo ..

    Niko mwanza nimependa namba 1 utengenezaj wa urembo
  12. D

    JamiiForums Tanzania Mawazo Madogo madogo ya mitaji midogo midogo ..

    Nimependa namba moja kutengeneza urembo
  13. D

    JamiiForums Tanzania Biashara ya samaki

    Mi pia niko mwanza nataka kuanza iyo biashara niko nafanya research
  14. D

    JamiiForums Tanzania Biashara ya samaki

    Kama kichwa kilivyojieleza naitaji msaada wa mawazo,mm ni bint naishi mwanza naitaji kuanza biashara ya kuuza samaki niwe nanuunua wabichi na kuwakaanga then nauza,ivo kwa mwenye uzoefu wa biashara hii anipe mawazo au jins inavyokua
  15. D

    JamiiForums Tanzania Kwenye nafasi za Ajira zilizotolewa na Wizara ya Afya; Kutotolewa wa majina ya Nutritionist nini tatizo?

    Hata kada ya health records hawajatoa ivo sio hiyo tu nazingine
Back
Top Bottom