Recent content by DIALLO

  1. DIALLO

    Makonda kufanya mahojianao Clouds kuhusu yanayosemwa juu yake

    Me navojua sasa hv tunabana matumizi na ndio maana vikao vyote vya serikali vinafanyika kumbi za serikali. C unaona baadhi ya hotel zinabadilisha matumizi.... TBC FM nzimaaaaa
  2. DIALLO

    Makonda kufanya mahojianao Clouds kuhusu yanayosemwa juu yake

    Naomba nisieleweke vibaya jamani ni wazo tu..... TBC FM nzima na inasikikika vizuri kabisa.
  3. DIALLO

    IGP Mangu: Muda wowote tutamkamata Maalim Seif kwa uchochezi, anayetaka ya Lugumi akaliulize Bunge

    #USALAMA ZANZIBAR: IGP Mangu asema vitendo vya uhalifu Z’bar ni matokeo ya Maalim Seif Sharif wa CUF kupandikiza chuki kwa wafuasi wake dhidi ya serikali na CCM.
  4. DIALLO

    Polisi wachemka, CCM waandamana Mwanza

    Azam Tv mkuu wameonyesha tena wamepanda daladala 2 full kelele na walipokaribia wakashuka full mibango na wakapokewa....hii
  5. DIALLO

    Polisi wachemka, CCM waandamana Mwanza

    Azam Tv,ITV na Channel 10 wameonesha...ushaidi tosha na mungu akipenda kesho front page ndio habari kuu
  6. DIALLO

    Polisi wachemka, CCM waandamana Mwanza

    Cheki habari marudio saa tano usiku ITV au Channel 10....ha ha ha ha my lovely country Tz
  7. DIALLO

    Polisi wachemka, CCM waandamana Mwanza

    Inasikitisha sanaaaa for this double standard...
  8. DIALLO

    Polisi wachemka, CCM waandamana Mwanza

    Ha ha ha ha nimecheka sanaaaaa....yani RPC anajibu simple namna hiyo. Kama kweli real we don't have police officers
  9. DIALLO

    Mahakama yatupilia Mbali Ombi la CCM Umeya Wa Jiji Dar

    Kwani kuna tatizo gn UKAWA wakishinda umea? Au kuna madudu chini ya kapeti?
  10. DIALLO

    Jaji Bomani awachafua wazanzibari

    Tuendako ni hatari sana na kama swala la Zanzibar litachukuliwa kizarau....wataanza kujitoa muhanga tena zaidi bara
  11. DIALLO

    CUF: Tunalaani fitina za kuigawa UKAWA zinazofanywa na wana UKAWA

    CUF Mbona Mapema Sana? Ivi Hii Ni Kauli Ya Chama Au Kikundi Cha Watu Wachache? Hivi Kweli Prof Lipumba Anaweza Kubari Huu? Mmeshaanza Kuutia Doa Tayari UKAWA! Mnafananishaje Maamzi Binafsi Na Ya Chama? Hapa Taratibu Na Kanununi Za UKAWA Zimekiukwaje? Binafsi Sijawahi Kumsikia Yeye Dr Slaa...
  12. DIALLO

    Kinachoendelea Bungeni: Bunge la 10, Mkutano wa 15 Kikao cha 6

    Jamaa technically yupo vzr sana na kama huwa ana dawa vile coz awasirishapo % ya wabunge wengi umsikiriza kwa makini....alafu ni historical mzuri sana
  13. DIALLO

    Kinacho endelea sasa TBC live "KONGAMANO"

    TBC wanapata tabu sana kwa kuukataa ukweli na itafikia siku hata kupata habari kwao itakuwa tabu sana
  14. DIALLO

    Kinacho endelea sasa TBC live "KONGAMANO"

    Kazi kweli kweli
Back
Top Bottom