Recent content by Dhurqaiyer

  1. D

    JamiiForums Tanzania Malengo yangu kwa mtaji wa milioni tano

    Poli umepata wapi mkuu natamani nianze kilimo cha korosho
  2. D

    JamiiForums Tanzania Waliochaguliwa SUA 2017/18 tukutane hapa

    umefanikiiwa kupata admission letter maana naona wanasema tutapata kwenye account zetu alafu sioni
  3. D

    JamiiForums Tanzania TCU hamtaki wenye stashahada kwenye idara ya afya wajiendeleze?

    Umesoma Uzi ukauelewa au umejibu tu?
  4. D

    JamiiForums Tanzania TCU hamtaki wenye stashahada kwenye idara ya afya wajiendeleze?

    Sijui umesoma post yangu vizuri sijapinga D tano Hata zaidi Na hizo chem,phy,bios ziwe pass sinashida nazo ninapopinga Ni kubadirisha Nakua wanahitaji credit kwenye chem Na bios badala ya Pass hata Kama una GPA above 3.5.Nakingine ninachopinga nikupandisha GPA Afya peke yake ambapo wanahitaji...
  5. D

    JamiiForums Tanzania TCU hamtaki wenye stashahada kwenye idara ya afya wajiendeleze?

    Angalia kwenye website ya TCU
  6. D

    JamiiForums Tanzania TCU hamtaki wenye stashahada kwenye idara ya afya wajiendeleze?

    Si bora Hata hiyo Afya Hata Uwe Na 3.4 urudie diploma sijui,Na Hata upate 3.5 Na Saidi pass unazo wanataka credit.
  7. D

    JamiiForums Tanzania TCU hamtaki wenye stashahada kwenye idara ya afya wajiendeleze?

    Umesababisha nicheke mkuu kumbe alikua Na Grade N
  8. D

    JamiiForums Tanzania TCU hamtaki wenye stashahada kwenye idara ya afya wajiendeleze?

    kigezo cha kujua kusoma Na kuandika sio kigezo cha kutofikiri ,jibu kulingana Na posti aliekwambia wote duniani tunatakiwa tuwe Na A ni nani? Hizo nyingine kawekewa nani Kwa jinsi ulivyojibu posti nadhani Hata hizo A nizakukariri majibu.
  9. D

    JamiiForums Tanzania TCU hamtaki wenye stashahada kwenye idara ya afya wajiendeleze?

    Kabisaa Maana hivyo vigezo Ni shida kabisaa
  10. D

    JamiiForums Tanzania TCU hamtaki wenye stashahada kwenye idara ya afya wajiendeleze?

    Natamani iwe hivyo warudishe PASS za Masomo ya science badala ya credit Na warudishe Iyo G.P.A 3.0 lakini sijui maana wamepandisha Afya pekee
  11. D

    JamiiForums Tanzania TCU hamtaki wenye stashahada kwenye idara ya afya wajiendeleze?

    Sawa nitafutilia kuanzia sasa ila nikuweke Sawa kidogo hapo mkuu,Mimi sitaki watuzingatie kipekee Na Ndio Maana nikaomba GPA irudishwe 3.0 Kama vigezo vya kozi zote,Na vya o level virudishwe pass 5 maana hakuna sababu ya kupandisha tena Kwa Afya pekee.Ahsante
  12. D

    JamiiForums Tanzania TCU hamtaki wenye stashahada kwenye idara ya afya wajiendeleze?

    Shida sio namna ya ku apply shida vigezo vimepanda Kwa kozi za afya kitu ambacho Ni vigumu kuvifikia vigezo vya sasa Kwa salio wengi hivyo wataalamu wengi wa Afya wengi kuishia stashahada
  13. D

    JamiiForums Tanzania TCU hamtaki wenye stashahada kwenye idara ya afya wajiendeleze?

    Bahati Mbaya sikuwahi kufatilia malalamiko ya waislamu juu ya hawa mawaziri,walikua wanalalamika pia kuhusu nini?
Back
Top Bottom