Recent content by dhum

  1. dhum

    JamiiForums Tanzania Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

    Binafsi siwapendi hawa wa marekani natamani wangefutwa kabisa duniani
  2. dhum

    JamiiForums Tanzania Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

    Trump anaomba vita iishe kashachoka tayari kweli nimeamini super power ni RUSSIA tu na taifa lenye uchumi mkubwa ni CHINA , hawa wengine ni porojo tu
  3. dhum

    JamiiForums Tanzania Israel na Marekani zaishambulia Iran. Serikali ya Israel yatangaza hali ya hatari

    Maji yamemfika shingo Trump awaomba washirika wamsaidie kuyazuia makombora ya iran
  4. dhum

    JamiiForums Tanzania FT' Simba SC 0-2 Azam FC | NBC Premier League | Benjamin Mkapa Stadium | Desemba 07,2025

    Hi ndio yanga au matope na maganda
  5. dhum

    JamiiForums Tanzania Shetani hana rafiki: Israel yatimua Majenerali wake sababu ya October 7, 2023

    Israel bado inahasira ya watu wa gaza
  6. dhum

    JamiiForums Tanzania Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

    Oy oy wana yanga wenzangu mpo mtani alivofanywa leo haibu naona mimi.
  7. dhum

    JamiiForums Tanzania Kwanini dini hizi UYAHUDI, UKRISTO na UISLAMU zinatofautiana siku ya kusali wakati chimbuko lao Moja (Abrahamic Religions)

    Mbona hizi second dini uislam na ukiristo zinapata umaarufu zaidi kuliko ile first ambayo uyaudi
  8. dhum

    JamiiForums Tanzania FT: Yanga SC 3 - 0 Pamba jiji FC | NBC Premier League |Benjamin Mkapa Stadium | September 24, 2025

    C kocha pekee mbaka wachezaji hakuna kitu .
  9. dhum

    JamiiForums Tanzania FT: Yanga SC 3 - 0 Pamba jiji FC | NBC Premier League |Benjamin Mkapa Stadium | September 24, 2025

    HAKUNA YANGA HAPA NI USHUZI MTUPU.
  10. dhum

    JamiiForums Tanzania Ushahidi huu unathibitisha Yesu ni Mungu

    MUNGU ni MUNGU tu na atabaki kuwa MUNGU.
  11. dhum

    JamiiForums Tanzania DOGMA ndio msingi wa dini ya ukristo

Back
Top Bottom