Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Hiyo nayo yaweza kuwa sababu japo viwango vya wachezaji naviona kama vipo chini au ndio hawajachanganyia bado? [emoji2]

Yah! Japo ukifananisha vile tumecheza kwenye zile game za preliminary round ni tofauti na tunavyocheza kwenye ligi.

Yaani kule walau tunajitutumua ila huku kwenye Ligi. Mmh.
Mechi ya tarehe 22 itatupa majibu kama tulikuwa tunajitutumua kwenye preliminary round ama tulikutana na timu mbovu sana nasi tukajiona tumo. Ila kama kuna yupo karibu na uongozi humu basi awafikishe taarifa kuwa Yanga haina fitness coach wa mpira hivyo katika moja ya vitu vya kuzingatia katika mechi inayokuja ni kupandisha fitness za wachezaji. Wachezaji wakikaba mpira wana dondoka dondoka hovyo hapo ni dhidi ya wachezaji wa level ya chini tu sasa ukikutana na mijitu ya Kaskazini kule si ndio balaa?
 
Kabisa yaani. Na mpaka sasa sijajuaga hizi sajili huwa na baraka ya nani mana msimu huu kiukweli tumepatwa.
Yaani daah sajili za baadhi ya wachezaji na kocha kote tumepuyanga, kwanza hata sielewi yule miloud hamdi waliachana nae kwa sababu zipi labda, then eng akaenda fanya sajili ya roman folz ambae hana experience na soka la africa even profile yake ni ndogo kwa miloud hamdi, wakati hii yanga hapa ilipo sasa inahitaji kocha mwenye experience ya kutosha kwa level ya mpira wetu wa kiafrica hasa kwenye mashindano ya CAF.
 
Mechi ya tarehe 22 itatupa majibu kama tulikuwa tunajitutumua kwenye preliminary round ama tulikutana na timu mbovu sana nasi tukajiona tumo. Ila kama kuna yupo karibu na uongozi humu basi awafikishe taarifa kuwa Yanga haina fitness coach wa mpira hivyo katika moja ya vitu vya kuzingatia katika mechi inayokuja ni kupandisha fitness za wachezaji. Wachezaji wakikaba mpira wana dondoka dondoka hovyo hapo ni dhidi ya wachezaji wa level ya chini tu sasa ukikutana na mijitu ya Kaskazini kule si ndio balaa?
apo kwenye fitness coach nakubaliana na wewe 100% yule aliyepo sasa ni gym trainer tu, kuna wale fitness coach wa nabi, gamondi na ramovic walikuwa wapo vizuri sana, ila huyu msouth mmmh timu inakata pumzi kipindi cha pili mfano ile mechi na silver striker pale kwa mkapa daah inasikitisha sana, wakati yanga yetu tunayoijuaga kipindi cha pili huwa timu inacheza kwa energy ya juu muda wote..
 
mtani kutoboa labda mtoboe tuu jezi ila kufuzu robo hamuwezi, teka dube?? teka bwabwa boyeli?? kiungo andabwile?? tutawalaumu waarabu bure
Hahahaaa. Hadi nimecheka. Lol.

Ni swala la muda tu Mtani na muda wenyewe ni tarehe 22.11.2025 hapo ndo tutaanza kujua mbivu na mbichi.
 
Oy oy wana yanga wenzangu mpo mtani alivofanywa leo haibu naona mimi.
 
Yaani daah sajili za baadhi ya wachezaji na kocha kote tumepuyanga, kwanza hata sielewi yule miloud hamdi waliachana nae kwa sababu zipi labda, then eng akaenda fanya sajili ya roman folz ambae hana experience na soka la africa even profile yake ni ndogo kwa miloud hamdi, wakati hii yanga hapa ilipo sasa inahitaji kocha mwenye experience ya kutosha kwa level ya mpira wetu wa kiafrica hasa kwenye mashindano ya CAF.
Milod hamdi alipata ofa nzuri zaidi misri. Kwa msuri ya pesa bado hatuwezi kushindana na timu za misri hata ambazo zinashika nafasi za kati katika ligi kwaiyo hatukua na namna zaidi ya kumwacha aondoke.

Nafikiri kwa sasa atakua free agent maana kule misri alishaachishwa kazi baada ya timu aliyoajiriwa kuifundisha kuwa na mfululizo wa matokeo mabovu
 
Screenshot_20260215_092253_Instagram.jpg
 
Sio kwamba ni tarehe 12?
Mechi ya prison waliohamisha uwanja kutoka Sokoine kwenda Tabora
Wamevunja kanuni taarifa ya kuhamisha uwanja inabidi itolewe kabla ya siku 21 au 7 Sasa wao wametoa taarifa Jana
Kwaiyo sisi Yanga hatuchezi hiyo mechi, tunajiandaa na game ya Azam tarehe 15
 
Back
Top Bottom