Recent content by Dharafu

  1. Dharafu

    Babershop inauzwa

    Yah tunafanya hivyo boss karibu
  2. Dharafu

    Babershop inauzwa

    Barbershop inauzwa Habarini ndugu wanaJamvi! Ningependa niende moja kwa moja kwenye mada, barbershop iliyopo Goba inauzwa ikiwa na vitu vyake vyote ambavyo vinatumika barbershop ikiwemo viti maalumu vya barbershop, na vifaa vyote vya barbershop vipo Masofa, rotating taa za nje, bango kubwa...
  3. Dharafu

    Mashine ya juice ya miwa inahitajika

    Wassalaam! Moja kwa moja niende kwenye point ndugu zanguni, mashine ya juice yà miwa inahitajika Location: Dar es salaam Condition: used Offer: 500k Karibuni tufanye kazi
  4. Dharafu

    Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

    Now I'm believing being idle without anything which keep you busy ni mtihani kweli kweli.... Hizi ndio ajira nimeomba afu kila siku kila muda nawaza zitatoka lini, is like naingia jf Mara 30 kwa siku kuchungulia PDF Na nimegindua hiyo yote ni kwasababu kwa sasa sina tena pale nilipokuwa...
  5. Dharafu

    Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

    Duuh....mambo yapo kasi! Na pale tehema tulikuwa 300 kuanzia ngazi ya cheti hadi shahada That means watu 250 wote wameachwa Sema kilichonikera walivuta muda hadi jumamosi baadhi ya watu waliokuwa shortlisted uhamiaji wakashindwa kwenda alafu mwisho wa siku mtu anakosa huku na huku! Na walienda...
  6. Dharafu

    Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

    Mkuu Chebe23kid ,50 kuanzia cheti hadi shahada?
  7. Dharafu

    Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

    50 kuanzia ngazi ya cheti hadi shahada?
  8. Dharafu

    Tubadili mitazamo yetu juu ya conspiracy

    Maelezo safi kabisa
  9. Dharafu

    Tubadili mitazamo yetu juu ya conspiracy

    Ni kweli, tena katika vijiwe vya vijana na wazee pia kahawani huko wanaathirika sana na conspiracy theory, wanaweza ongea jambo hadi ukaona huruma.
  10. Dharafu

    Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

    Kada ya IT hawakufanya practicals uhamiaji?
  11. Dharafu

    Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

    Sio mbaya watu 97 kwa watu 600 is like uwiano wa 1:6, yaani katika watu watu sita au saba ya waliofanya usaili..mmoja anachaguliwa provided that connection is neglected
  12. Dharafu

    Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

    Asante ndugu...ila Nina swali moja bado, si lazima waliitwa interview?? Maana hadi majina ya waliochaguliwa kutoka maanake waliitwa interview wakasailiwa au hawakufanya usaili walichagua huko huko jukwaju?
  13. Dharafu

    Natafuta Partner kwenye biashara ya marudio (Uchenjuaji wa marudio ya Dhahabu)

    Huwa nipo very interested na issue za mining ila capital huwa ni tatizo
  14. Dharafu

    Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

    Hivi kwa zile nafasi za mwaka Jana za polisi zilizotoka kwa waliokuwa wakizifuatulia baada ya submission deadline kufika ilichukua muda gani kuitwa interview?? Mwezi au miezi miwili?? Na pia kuna mtu ananiambia kuwa wale wa form four waliopita jkt waliokuwa nje ya kambi wao walifanyia...
  15. Dharafu

    Hii inafaa kweli? Njooni tutoe mitazamo yetu

    Ni kweli kabisaaa watoto na wajinga ni wengi sana siku hizi humu
Back
Top Bottom